WEEK MOJA sasa MAJI TATIZO DAR ES SALAAM

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Watu wameanzankujitoa mwanga kwa kuoga maji taka
an wengine wanatoka majumbani bila kuoga

Kama wewe na makazi wa dar vipi leo umeoga?


images



Hali ni mbaya sana

images



Watu wanazidi kuteseka


images




ANgalia na hapa
images



Chiki na hii wakazi wa goba
images




Hali ni mbaya mbagala

images
 
khaa..hivi dar hii hii kuna maeneo maji hayajatoka eeh..aise poleni sana
 
Kuna mabomba ya chuma ya mamilioni serikali imetangaza tender sijui yatanunuliwa lini. Kama yakija eti ndo maji yatamwagika 24 hours. Mhhh!
 
Mimi huwa nashangaa watu wakisema kuwa dar maji ni ya shida for a week.......... Nakaa tabata since 1996, i dont remember the last time nimeona bomba limetoa maji......... Sie tushajizoelea maji ya kisima ati............ Ok may be tabata is not in dar.
 
Back
Top Bottom