siwezi kusema naipenda or siipendi
inanifanya niwe more curious about her
je how old is she?ndoa yake ina miaka mingapi??????
kwa sababu most women wanakuwa hivyo wanapokuwa still in love na ndoa zao na waume wao...
kukitokea mabadiliko,unashangaaa
umewahi sikia mabadiliko ya wanawake after menopause??????/
Offu topik: dah cookie kanipa za uso kwa JF rules halaf kafunga topik, skujua yuko serious kivile! Aisee sinyatii tena mamods ,nashkuru hakunilamba ban
Lawyer ninaekubalika hapa JF ni mimi tu, nyinyi hizi habari na haya mamlaka kawapa nani?
Nazungumzia ideally na ndiyo maana nikaweka kwenye mabano "at least hapa kwenye forum". Mimi on face value I like her stances with regards to relationships.
Mengine nje ya hapa JF siwezi kuzungumzia sana maana sina jinsi ya kufayafuatilia na kuthibitsha mwenyewe.
Dah! acha nizinguane na hawa hawa kina husninyo na Lizzy tu bana, nisije nikalambwa server ban nikaishia forum ya malaria suguUtakuwa umechemsha sehemu wewe kwa sababu mimi na yeye tuko poa sana. Tena kuna siku alisema ananipenda.
<br />Dah! acha nizinguane na hawa hawa kina husninyo na Lizzy tu bana, nisije nikalambwa server ban nikaishia forum ya malaria sugu
kesho na keshokutwa akija na msimamo mwingine tofauti na huu unaopenda wewe
utafanyaje?
Nitauliza kulikoni, mbona sasa umebadili msimamo/ mawazo yako? Na natumaini atakuwa na maelezo ya kwa nini imekuwa hivyo.
Watu huwaga hawabadili tu misimamo hivi hivi. Lazima kunakuwaga na sababu.
Sasa akitoa maelezo huenda nikamuelewa au huenda nisimuelewe. Lakini nijuacho ni kuwa kama yalivyo mambo mengine na sisi binadamu hubadilika pia. Tunabadilika kimaoni, kimisimamo, kimuonekano, kiimani, na kadhalika.
Kwa mfano, mimi sibishi kama mungu yupo na wala sikubali kama yupo. Lakini usije kushangaa hapo baadae nikachukua msimamo wa kuamini au kutokuamini kabisa. Hii ikitokea lazima nitakuwa na sababu ya kufanya hivyo.
Kwa leo kwanza hata wewe nakuogopa! dah! skujua kama warning inashtua kiasi hiki khaaa! naomba leo niwaheshimu memba wote na sredi zote.<br />
<br />
pole sana. Mi mwenyewe nakupa makonzi ya mbavu zaidi ya coockie. Najiandaa kuchukua umod.lol
in that case napenda misimamo yake for now
but sitashangaa akibadilika
in that case napenda misimamo yake for now
but sitashangaa akibadilika
Hapo sasa tupo pamoko!
Boss in her case... ni vigumu saana... I think akibadilika (tokana na driving forces) more ni kwamba aweza pumzika but not change Jamvini....
asha d
labda nikuulize wewe swali
unafahamu menopause?
na nini kinatokea after menopause kwa mwanamke?
midlife crisis je???????
mambo mengine yapo so deep kuliko unavyoona...
ndo maana niliuliza,how old is she?ndoa iko mda gani?
nn
mimi nafikiri wewe ukiwa ni mwanaume
na unapenda misimamo ya nyumba kubwa
basi ungepaswa kujiuliza,
je mumewe amechangia vipi mpaka yeye amekuwa na misimamo hiyo
huoni hapo kuna kitu useful?
mimi hapo ndo napotamani kujua....
Kwa nini awe mumewe tu ndo awe na mchango? Kwa nini isiwe mama yake, baba yake, dini yake, rafiki zake, au experiences zake za maisha na kadhalika?
Mimi ningependa kujua kwa ujumla ni nini kinachomfanya awe na misimimamo kama hiyo.
hao wote na hivyo vyote vimechangia but mumewe probably ndo zaidi
in most cases
siwezi kusema naipenda or siipendi
inanifanya niwe more curious about her
je how old is she?ndoa yake ina miaka mingapi??????
kwa sababu most women wanakuwa hivyo wanapokuwa still in love na ndoa zao na waume wao...
kukitokea mabadiliko,unashangaaa
umewahi sikia mabadiliko ya wanawake after menopause??????/
Kwa nini awe mumewe tu ndo awe na mchango? Kwa nini isiwe mama yake, baba yake, dini yake, rafiki zake, au experiences zake za maisha na kadhalika?
Mimi ningependa kujua kwa ujumla ni nini kinachomfanya awe na misimamo kama hiyo.
Inabidi uwe mtu wa kina sana katika kujadili na kufikiria haya mambo....
hao wote na hivyo vyote vimechangia but mumewe probably ndo zaidi
in most cases .
Who told you that I have a perfect marriage. Ndoa yangu ni ya kawaida. Ni kama za watu wengine. Nina miaka minane kwenye ndoa and am 35 years old. Mume wangu ni mpole na msikivu sana ila alishawahi kuni cheat while was pregnant na kipindi hicho ndoa ilikuwa na miaka sita. Ila ambacho naweza kujisifia ni kuwa najiheshimu sana na kazi yangu inanifanya wakati mwingine nilazimike kujiheshimu zaidi. Ila si kazi tu nakumbuka hata wakati niko college vijana walikuwa wananiogopa sana wanasema niko very serious. Aah. Afu nilikuwa nashika namba class. Si unajua wanaume hawapendi wanawake wanaojiamini na walio kind of powerful. Hiyo imenisaidia kuwa wachafuzi walikuwa wanacheza mbali na mimi na walionitokea walikuwa real serious including my hubby.