ilisha juniour
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 714
- 220
sexy!!
Kwangu imeenda vizuri,hongera kwa hatua hyo uliyoanza,marufuku kukata tamaa,maisha yana kila aina ya vikwazo lkn we jipe moyo. Mtegemee Mungu nae hatakuacha kamwe
Mie it was good,nimetumia muda wangu home tu
sexy!!
kwanin hujatoka hata kutembea tu uka refresh mind?
aisee huyo ni binadamu au wakuchora aiseee nimekwishaaaa niko hoi jamani aiseee.
sio mtu wa kutoka kihivo.......ko kushinda home huwa napenda pia
una interest kama yangu,!,ila kama nikiwa na kampan ndo huwa natoka!,