zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,039
- 3,613
kweli kabisa .kuna rafiki yangu siku moja bdo kidogo angesepamkuu usipendelee pombe kali na energy drink unaweza kusepa ... find other way around ushauri tu ,.. doctor pia alinishauri usiniulize ilikuwaje we chukua ushauri
kweli kabisa .kuna rafiki yangu siku moja bdo kidogo angesepa
Booster?au?Wazungu walishangaa sana kukuta huku bongo watu wanachanganya Redbull na Konyagi .Hio mixer yake usipime..
Watumiaji wanaona kama ni booster lkn ukichanganya hivyo vitu wkt unakunywa ukipimwa mapigo ya moyo utashangaa jinsi heart beat rates zilivyo juu.Booster?au?
Avachemkuu usipendelee pombe kali na energy drink unaweza kusepa ... find other way around ushauri tu ,.. doctor pia alinishauri usiniulize ilikuwaje we chukua ushauri
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji13] [emoji85]Booster?au?
+Kipande cha subuni ya mbuni.!Red Bull +Jack Daniel??
Hawa ndio wanafiaga guest house na vibint vidego alafu vinaanza kusumbuliwa na maaskari kama yule jamaa wa bukoba aliefia kwenye kibaby woka!mkuu usipendelee pombe kali na energy drink unaweza kusepa ... find other way around ushauri tu ,.. doctor pia alinishauri usiniulize ilikuwaje we chukua ushauri
K ni K tuK vant na konyagi ipi kali?
kabisa mkuu wanachanganya changanya tu bila kujua madharaHawa ndio wanafiaga guest house na vibint vidego alafu vinaanza kusumbuliwa na maaskari kama yule jamaa wa bukoba aliefia kwenye kibaby woka!
Maana io pombe tu anayokunywa ikiingia mwilini jasho linakutoka na mwili unachemka plus mapigo ya moyo yanaongezeka!!Haya unajiudunga na redbull juu!!!Kuna Watu tatizo wanajionaga wajanja sana mjini kumbe washamba sana.huyo jamaa jamhuri ikimjua atafunguliwa kosa la kutaka kujiuakabisa mkuu wanachanganya changanya tu bila kujua madhara
tatizo kutokujua mkuu ila sasa nadhani ameshajuaMaana io pombe tu anayokunywa ikiingia mwilini jasho linakutoka na mwili unachemka plus mapigo ya moyo yanaongezeka!!Haya unajiudunga na redbull juu!!!Kuna Watu tatizo wanajionaga wajanja sana mjini kumbe washamba sana.huyo jamaa jamhuri ikimjua atafunguliwa kosa la kutaka kujiua
Du hii warning sijaipatapata unataka kusema hiyo pombe imeathilika?Kunywa kistaraabu,.usinywe kupitiliza,.ukimwi upo na unaua,..chunga vitu vyako vya thamani
KonyagiK vant na konyagi ipi kali?