Weed, ndum, ganja, madini

Tetrahydro Cannabino in Chemistry, Kush inasemekana huu mmea shetani aliukojolea kipindi ametupwa duniani.. ukalaaniwa kwa staili hiyoo
 
Au vutia masikan tena ukiwa unaanza kuvututa kila msela anakususia tu
 
Au vutia masikan tena ukiwa unaanza kuvututa kila msela anakususia tu
Ila ganja alone sikushauri sana now adays, waweza wehuka

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
Uwe na mzigo wa msosi pembeni. Bunda zima loh
 
Uwe na mzigo wa msosi pembeni. Bunda zima loh
Mbona linakwenda, nilishawahi kufanya hivyo kipindi naishi home, maskani niligonga bunda peke yangu, kurudi home msosi wa familia nikagonga peke yangu

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
Ha haaa watu wakalala njaa kwaajili yako. Hufai wewe
 
Ha haaa watu wakalala njaa kwaajili yako. Hufai wewe
Father alinimind sana but nikajitetea, nilimwambia" mbona kamsosi kenyewe kalikuwa kadogo tu"

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
Tetrahydro Cannabino in Chemistry, Kush inasemekana huu mmea shetani aliukojolea kipindi ametupwa duniani.. ukalaaniwa kwa staili hiyoo
Embu wacha tetesi, tuletee ushahidi toka kokote tuu, hata kwa wagalatia
, Huu majani ulikutwa katika hata kaburi na hekalu la mfalme suleimani, I so wacha story za urongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…