Hapo ukute tairi ya spea mlishaitumia hapo nyuma kidogo, halafu network ya simu hamna.
shukeni bana msalimie wenzenu, umesahau kipa mzungu? hahahaha
dah!! hapo unaaza kuwaza sijui nini kitafwata.....
usinichekeshe manake nimemkumbuka mtu Mungu amrehemu alikuwa muwindaji aliniambia yaani simba ukimfanya hisani hawez kusahau kulipa fadhila hata siku moja.Si kuna sredi hapa ilisema eti ukikutana na hiyo midubwana uitoleee macho itaona haya!!!!!!!
Ha ha ha haaa balls out of sockets!!!!!!
usinichekeshe manake nimemkumbuka mtu Mungu amrehemu alikuwa muwindaji aliniambia yaani simba ukimfanya hisani hawez kusahau kulipa fadhila hata siku moja.
sasa tatizo linakuja hivi unamfanyiaje hiyo hisani?
nimeishia kucheka tu, hadithi nyingine bhnaNimewahi kuisikia hiyo eti ukimkuta na mwiba usiogope nenda kamtoe halafu atakuwindia swala na kukuletea!!!!!!!! Jamani udogoni tunadanganywa saana!!!!
Mwiba wa jumapili we ukutane naye alhamis hajala siku zote hizi! !!!!!!!!!
Huyo wa nyuma reversr ingemuhusu fasta!!!!!!!
Hivi hizo 200/ 300 zikiwa na.pancha hazitembei eenh???!!!