The Spartan
Senior Member
- Jan 27, 2018
- 179
- 260
Wakuu, habari ya majuku.
Leo nipo na wazo hapa nataka kushea na kusikia kutoka kwenu wakuu.
Kulingana na changamoto nyingi zilizopo kwenye familia (ndoa) za watu leo, ikitokea mtu akaanzisha kampuni ya kusimamiza ndoa za watu anaweza kuwa na tija ktk jamii???
yani inakuwa hivi: kampuni inakuwa ikijihusisha na usimamizi wandoa za watu ktk namna zifuatazo.

-usimamizi unaanzia kwenye uchumba, yani kabla ya wawili hao kufunga ndoa hata baada ya kufunga ndoa
-kufundisha na kukemea uovu na matendo ambayo yanafanya ndoa kuwa chungu
-kushauri na kutatua migogoro ya ndoa na kuvunja ndoa pale inapo bidi. hii inahusisha ushirikishwaji wa sheria ili kuhakikisha ndoa imevunjika kikamilifu na usitokee excuse yeyote ya kurudiana. hii itakuwa inategemea na mkataba utakao sainiwa wakati wa kuachana.
NB; wafanyakazi watakuwa wanasheria, watu wa saikolojia na watumishi wa Mungu tu. nimekutana na mkasa mmoja wenye umenifanya nawaze hivyo, tusitukanane 😎 😎 😎