Habari wana Jf Natafuta nafasi ya kazi kwa yoyote ya ku host website ama studio ya photography cuz nina uzoefu na ubunifu wa hari ya juu
kwann mnpenda kukatisha wenzenu tamaa?? ataachaje kuijua wakati amesema ana uzoefu?? bangi mbaya sanaunajua maana ya ku-host website...?
mother tongue mkuu, msaidie kupata kazi kutokana na uzoefu wake wa hali ya juuKweli una uzoefu wa HARI ya juu.
kwann mnpenda kukatisha wenzenu tamaa?? ataachaje kuijua wakati amesema ana uzoefu?? bangi mbaya sana
Anajua kuhost website ni kuwa mwenyeji wa website kama tunavyoihost JF sasa. Magumashi ni afadhali angalitueleza kuwa anaweza kuwa server adminunajua maana ya ku-host website...?
Safi sana, inaudhi watu kujifanya kujua. Mfahamishe huyu ndugu kuwa ni sawa na kujidai kuwa unaweza kuzaa ndama ingawa mwanadamu anaweza kuzalisha ng'ombe. i.e. nina ujuzi wa kuhost website!!!!!!! Mungu atunusuruNimemkatishaje tamaa hapo....mimi nimeshangaa kujitangazia ishu ya Ku-host website...kwa sisi wataalam wa mambo hayo tunashangaa sababu kuhost website ni kitu kinachohita mtu awe na server ya uhakika ambayo inakuwa on 24 hrs 7days 30days and 365: sasa jamaa alivyo present kaonyesha jinsi gani hayuko familier na hivyo vitu.
Mungu anahusika kweli hapoSafi sana, inaudhi watu kujifanya kujua. Mfahamishe huyu ndugu kuwa ni sawa na kujidai kuwa unaweza kuzaa ndama ingawa mwanadamu anaweza kuzalisha ng'ombe. i.e. nina ujuzi wa kuhost website!!!!!!! Mungu atunusuru