Website za biashara na mauzo ya maudhui (ingiza kipato)

Brightburn

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2020
Posts
376
Reaction score
714
1. Website ya ofisi/kampuni/binafsi: Tsh 600,000
- Inakuwa tayari ndani ya wiki mbili.
  • 30 Business emails (mfano: info @ biasharayako . com)
  • Free SSL certificate
  • Up to 50GB storage
  • Unlimited bandwith
  • Up to 2 sub-domains: mfano 👇
    • Domain: www . biasharayako . com
    • Subdomain. www . huduma. biasharayako . com
  • Free design for 1 subdomain (onepage)

2. Website ya mauzo (kuanzia): Tsh 1,000,000
- Inakuwa tayari ndani ya wiki tatu.
  • Ya kuuza vitabu, music, movies, bidhaa, nk.
  • Free domain name (.shop .com .org .co .io)
  • Unlimited business emails
  • Free SSL certificate
  • Up to 100 GB storage
  • Unlimited bandwith
  • Up to 3 sub-domains
  • Free design for 1 subdomain

Tafadhali zingatia;
Gharama ya website hizo ni hosting ya mwaka mmoja + matengenezo, na maboresho ni bure kwa kipindi hicho cha mwaka mzima. Baada ya mwaka mmoja, kwa website ya ofisi/kampuni/binafsi utalipia hosting + domain ku-renew Tsh 150,000 kwa mwaka, na website ya mauzo utalipia Tsh 250,000 kwa mwaka (hakutokuwa na gharama za matengenezo tena).

Website inatambulisha biashara yako na kuipa thamani zaidi, karibu tukutengenezee website nzuri kwaajili ya biashara yako au kampuni. Lakini pia kwa website ya mauzo kama vile vitabu, hadithi, muziki, sinema, bidhaa, nk utaweza kujiingizia kipato kizuri sana ikiwa utaitangaza vyema na kuweka bidhaa mpya mara kwa mara! Hakikisha tu unafata sheria za maudhui unayoweka ili usipate usumbufu wowote hapo baadae.

Wasiliana nasi (Hamia Digital);
0749987122
 
Shopify bure...... miezi mitatu..... WordPress bei ft woocommerce bei .... theme bei chee sasa million inafikaje ..... ma i.t wa bongo utapeli sana ....ndo maana mtu akitaka website hawezi anaenda fivver.com au freelancer kule website full 40usd sawa na laki moja tu..... njoo bongo sasa website million.... kwa kipi .....

Kama una shida ya website nunua server yako ingia fivver.com utapa websit kwa laki tu full

Pia kama una idea pia chat gpt inaweka kukuassit kutengeneza ila million webiste kwa kipindi hii technology iko free ni wizi
 
Brother bhana, umenifurahisha... Unajua unachukulia poa sana baadhi ya vitu aise, sasa e-commerce iliyokuwa developed Wordpress au Fiverr tena kwa kununua themes za Themeforest nayo unaita ni e-commerce ya biashara kweli?! Unajua gharama ya hosting tu ya biashara? Achana na hizi hosting unakutana nazo sijui package ya Twiga ni Tsh 50,000 sijui Tembo ni Tsh 100,000... nazungumzia hostng zinazoweza kusukuma transactions za order za watu anagalau 1million kwa wakati mmoja! Nazungumzia e-commerce za kibiashara, sio themes za wordpress au hizo website za wahindi za Fiverr amabpo wakishaunda hiyo site unajuta kutoa hiyo laki unayosemea na hata hutojua ufanye nayo nini hiyo website.

Usiishi kwa kukariri eti developers wa bongo sijui wana nini, ila jifunze kutofautisha custom made website na wordpress themes, kisha ukajifunze kuhusu hosting na database. Nunua hiyo website ya laki, kisha waambie waunganishe na hosting yako, halafu uone kama hata wateja 1000 wataweza kufanya manunuzi kwa wakati mmoja! Unadhani e-commerce ya laki 1 ingekuwa ni kitu kinaeleweka Jeff Bezos bilione mkubwa duniani angetumia mamia ya mamilioni kuunda Amazon? Au Jack Ma bilionea wa Alibaba angehangaika kuajiri madevelopers wakubwa na kulipa mamia ya mamilioni kwenye uboreshaji na uendeshaji wa Alibaba?

ACHA KUKARIRI, usiongee usichokijua!
 
We nae sasa naongea pia ni developer so najua nini naongea ... mtu ana cheap smalll business hizo ndo bettter option naongea kama professional sio story za vijiwen...... sasa yeye ni large business kuwa atapitisha transction 1 mil per day ....
Foolish Kabisa wewe........ small business inahitaj option nilizotaja
 
Kwanza kabisa, Foolish mwenyewe, cha pili wewe sio developer, wewe unafanya copy-paste kwa nunua themes na kuziedit kupitia wordpress... Haijalishi biashara ni kubwa au ndogo, huwezi mshauri mtu anunue website za laki 1 za Fiverr atumie kwenye biashara ya mauzo na manunuzi tena inayohusisha transactions za wateja. Natumia Fiver, naijua vizuri mno, maana hata support yao ni limited! Ukiachana na support damagaes huwa ni nyingi sana kwenye kazi nyingi.

Ungekuwa developer kweli usingempeleka Fiverr, ungemuita ofisini kwako kisha umtengenezee hiyo e-commerce website ya laki 1, kama hao wa Fiverr wanaweza kwanini wewe ushindwe wakati na wewe ni developer? Naona ingekuwa rahisi maana angepata support ya haraka zaidi akihitaji msaada.
 
Achana na matapeli soma nilichoandika utapata website professional bila kuvunja kibubu chako mkuuu hawa
Ama kweli mchawi sio hadi apae na ungo, ila naona umekosea brother... Unge-quote hiyo post ya mteja ili aone vizuri naona umereply post yangu mwenyewe kuwa mimi tapeli.
 
1. Website ya ofisi/kampuni/binafsi: Tsh 600,000
- Inakuwa tayari ndani ya wiki mbili.
  • 30 Business emails (mfano: info @ biasharayako . com)
  • Free SSL certificate
  • Up to 50GB storage
  • Unlimited bandwith
  • Up to 2 sub-domains: mfano 👇
    • Domain: www . biasharayako . com
    • Subdomain. www . huduma. biasharayako . com
  • Free design for 1 subdomain (onepage)

2. Website ya mauzo (kuanzia): Tsh 1,000,000
- Inakuwa tayari ndani ya wiki tatu.
  • Ya kuuza vitabu, music, movies, bidhaa, nk.
  • Free domain name (.shop .com .org .co .io)
  • Unlimited business emails
  • Free SSL certificate
  • Up to 100 GB storage
  • Unlimited bandwith
  • Up to 3 sub-domains
  • Free design for 1 subdomain

Tafadhali zingatia;
Gharama ya website hizo ni hosting ya mwaka mmoja + matengenezo, na maboresho ni bure kwa kipindi hicho cha mwaka mzima. Baada ya mwaka mmoja, kwa website ya ofisi/kampuni/binafsi utalipia hosting + domain ku-renew Tsh 150,000 kwa mwaka, na website ya mauzo utalipia Tsh 250,000 kwa mwaka (hakutokuwa na gharama za matengenezo tena).

Website inatambulisha biashara yako na kuipa thamani zaidi, karibu tukutengenezee website nzuri kwaajili ya biashara yako au kampuni. Lakini pia kwa website ya mauzo kama vile vitabu, hadithi, muziki, sinema, bidhaa, nk utaweza kujiingizia kipato kizuri sana ikiwa utaitangaza vyema na kuweka bidhaa mpya mara kwa mara! Hakikisha tu unafata sheria za maudhui unayoweka ili usipate usumbufu wowote hapo baadae.

Wasiliana nasi (Hamia Digital);
0749987122
Nataka nitengengeze application kama kupatana ama jiji je mnaweza? Na taratibu zikoje?
 
Kwanza kabisa, Foolish mwenyewe, cha pili wewe sio developer, wewe unafanya copy-paste kwa nunua themes na kuziedit kupitia wordpress... Haijalishi biashara ni kubwa au ndogo, huwezi mshauri mtu anunue website za laki 1 za Fiverr atumie kwenye biashara ya mauzo na manunuzi tena inayohusisha transactions za wateja. Natumia Fiver, naijua vizuri mno, maana hata support yao ni limited! Ukiachana na support damagaes huwa ni nyingi sana kwenye kazi nyingi.

Ungekuwa developer kweli usingempeleka Fiverr, ungemuita ofisini kwako kisha umtengenezee hiyo e-commerce website ya laki 1, kama hao wa Fiverr wanaweza kwanini wewe ushindwe wakati na wewe ni developer? Naona ingekuwa rahisi maana angepata support ya haraka zaidi akihitaji msaada.
Hivi unajua fivver maana ake nini naona unaandika ufala tu
 
Sio najua maana ya Fiverr ni nini, ila nafahamu Fiverr ni website ya kazi gani na naitumia kwa muda mrefu sana! Najua makato yao ya Pioneer, najua makato yao ya PayPal, najua makato yao wenyewe Fiverr, na najua inachukua siku ngapi kuweza ku-withdraw pesa uliyolipwa na mteja maana nimeshalipwa hapo zaidi ya mara 1. Kwahiyo naijua vyema brother, huwa siandikagi tu, naandika kitu ninachofahamu.
 
Attachments

  • Fvr 1.png
    Fvr 1.png
    45.7 KB · Views: 15
  • Fvr 2.png
    Fvr 2.png
    73.1 KB · Views: 16
Back
Top Bottom