Natoa offer Mtu aliyekua sharp anataka kununua hii site, ambayo haina kazi za kuandika post wale kuifanya chochote ni 100% automated news zinajiandika wenyewe na pia zina ji index kwenye google na kuji ping kile masaa 2. na kila siku zikizidi inatapa more traffic more fb fans bila ya kufanya chochote kile. kazi yako kuweka matangazo na kula hela. naamini baada ya miezi 5 itakua site ya juu sana na yenye traffic noma. natoa siku 5 kwa mtu aliyefast ainunue kwa offer ya $300 tu. bei cheee hata blog ya blogspot hupati bei hii lakini mimi nakuulizia hii site ilokua Professional Designed na pia mobile compatible kwa hii bei chee. alokua fasta kulipia anifate chemba nimtumie invoice ya paypal.