nilichefuka roho zaidi wakati tunafuatilia suala la makuyuni musoma road kupitita serengeti nikaona ngoja niingie website ya tanapa ili nisome environmental impact assessment report ( EIA ) ili tuweze kupata kinagaubaga na kujibu hoja za wakenya ambao washafungua hadi facebook page kupinga iyo barabara nilikasirika kukuta achilia mbali EIA report kuan hamna hata news ya ilo suala halipo! shida izi taasisi za serikali ni ajira za kujuana nasikia hapo tanapa hamna ajira kama humjui mtu, sasa unategemea nini, kuna vijana wengi wa tanzania wamesoma IT na hawana kazi lakini ndio ivyo tena nani anakujua! sasa ishu muhimu kama EIA report ndani ya hifadhi haziwekwi kwenye mtandao unategemea nini? hata environmental management plan hamna! jamani tunaenda wapi?