Ingia mpekuziTangu watangaze matokeo Jana nimeshindwa kabisa kuyaona Kwa sababu website ya NECTA haifunguki licha ya kuwa kwenye mtanadao wa 4G.
Naombeni msaada mumetumia this Gani kuyaona matokeo?
Bado inasumbua tu.Tangu watangaze matokeo Jana nimeshindwa kabisa kuyaona Kwa sababu website ya NECTA haifunguki licha ya kuwa kwenye mtanadao wa 4G.
Naombeni msaada mumetumia this Gani kuyaona matokeo?