Website ya National Aids Control Program ipo under attack (Hacked)

Consigliere

Platinum Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
12,901
Reaction score
27,421
Website ya Mpango wa taifa wa kudhitbiti UKIMWI imekuwa hacked by the unknown hacker, na kupelekea watumiaji wa mtandao huo kushindwa kupata taarifa mbali mbali.
Mtandao huo umekuwa ukitumiwa na wizara katika kutuma au kubadilisha na taarifa za kiufundi zinazohusiana na maambukizi ya HIV/AIDS ya wizara ya afya na wadau mbalimbali.

Tembela HacKeD By CompLeXx*
 
Ndio tatizo ya kazi za kupeana,waambie next inaweza kua ya ikulu manake na yenyewe imekaa kizembe zembe
 
Back
Top Bottom