teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
Swali lako halina hata maana ukijua kiongoz wa kanisa gani ufanye nini, na amesema anahitaji website mpe maelekezo anaipataje sio maswali kama haya ambayo hayana maanaSio kwa umuhimu sana, but kwanini unahitaji website? Ni kiongozi wa Kanisa gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sababu sio mtaalamu wa mambo ya website utahitaji kutoa pesa kwa wataalamu ambao wataitengeneza ikamilike kila kila kitu kulingana na dhumuni la website ambayo nyie mnahitaji na pia baada ya kukamilika itabaki pia awepo mtu ambaye atakua aniendesha so inabidi mtafute mtu hapo kanisani awe anaisimamja ambaye atakua mtaalam au ataelekezwa kitu kingine hapo kanisani iwepo kompyuta na internet, maana huwez kuiendesha website kwa simu itasumbua. Ni hayo tuu, so subiri wajuzi wakucheki mfanye kazi hiiWapendwa Kama kichwa kinavyosema, mimi nahitaji kuwa na website ya Kanisa nasema mimi kwa vile nikiongozi, ni mambo gani niwe nayo ili kuweza kuwa na web? Je ni gharama kiasi gani kufungua, kifupi mimi sio mtaalam na mambo haya hivyo unaponieleza toa maelekezo yooote ya kutosha.
Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk
Swali gani hili?.Sio kwa umuhimu sana, but kwanini unahitaji website? Ni kiongozi wa Kanisa gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru kwa maelezo yako mazuri, nadhani kama hutojari unipatie namba yako ili uwe msaada wangu wa hatua za kuanzia maana kukutana na kuulizana kwa njia hii itanichukua muda mrefu kuelewa somo hili vizuri.Kama huna utaalamu wowote kwenye kucode website tumia hata website kama www.wordpress.com
www.weebly.com
www.wix.com
Kutengeneza website bure bila kutumia code utakachofanya ni kuchagua templates unazopenda na kuedit pia utakua ns uwezo wa kuedit na kuiendesha website yako bure. Unaweza kutumia website kama www.freenom.com kupata domain name za bure eg: .(tk, .ga) au za .com kwa kulipia ila hata hizo website zinatoa free domain name ila kuna muda zinakuwa ndefu so ni ngumu mtu kuishika so unaweza kununua au kutumia freenom kupata free domain name fupi. Kama huna idea yoyote na hii pitia YouTube zipo tutorial nyingi sana zinazoelezea hayo mambo.
Ukitaka website ya kucode ni gharama zaidi kumpa mtu tenda na pia gharama za uendeshaji zinaweza kuwa kubwa kutokana na mahitaji yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapendwa Kama kichwa kinavyosema, mimi nahitaji kuwa na website ya Kanisa nasema mimi kwa vile nikiongozi, ni mambo gani niwe nayo ili kuweza kuwa na web? Je ni gharama kiasi gani kufungua, kifupi mimi sio mtaalam na mambo haya hivyo unaponieleza toa maelekezo yooote ya kutosha.
Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk