kipipili
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 1,590
- 183
Naomba mtujulishe tumefikia wapi na suala la kuwa na TOVUTI ya YANGA?
kitendawili hicho, mpaka Manji apende
Naomba mtujulishe tumefikia wapi na suala la kuwa na TOVUTI ya YANGA?
Naomba mtujulishe tumefikia wapi na suala la kuwa na TOVUTI ya YANGA?
Vipi Hii Site Dar Young Africans Ingekuwa vizuri kama watu wangeiupdate na kuifanya ya kisasa
Hiyo ni blog ya mashabiki wetu,inaendeshwa na mashabiki tu wenye mapenzi na Yanga,hii tunayoizungumzia ni Website ambayo itaendeshwa na klabu na itakuwa imejitosheleza kwa kila kitu kama ilivyo kwa klabu zilizo katika ligi za majuu....
Mkuu....Mkuu nimeingia kwenye website yenu, rangi inachosha macho, hamna utaratubu kwa kuibadilisha, halafu samahani imekaa kiccm sana.
Mimi ni shabiki wa ile timu yenye makao yake pale mtaa wa Swahili, yaani Pan African SC, ila kwa wazo ili nakuunga mkono.Waheshimiwa,
Tuko wanne so far, na nadhani inabidi kazi ianze rasmi. Tayari tulianza discussion kidogo na Jimmy kuhusu hii kazi, na nadhani ni wakati sasa wa wajumbe wote kuanza kuchangia mawazo. Hapa chini naweka mawazo niliyonayo kuhusu hii kazi, na naomba na wengine mchangie kusudi kazi iendelee. tafadhali ipitieni na mtoe mawazo yenu, irekebishwe ili ije kuwa mwongozo wa hii kazi:
Today | 218 | |
Yesterday | 32 | |
This week | 321 | |
Last week | 0 | |
This month | 321 | |
Last month | 0 | |
All days | 321 |
Kitu noma hicho mkuu....Ebana Balantanda, mie nilikuwa natafuta sana lile dude la Pepe Kalle linaitwa "Yanga Afrika" nadhani unajua jinsi linavyo flow....lakini halipatikani kwenye youtube, ukilipata liweke hapa hahahahaha nitafurahi sana chamaa! Obligado.
Je kuna anayefahamu asili ya Yanga kufananishwa (au kuitwa) kandambili?
Ilikuwa kuwaje, na ilikuwa mwaka gani?
Soma historia iliyozaa Pan Africans.