Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,476
- 4,752
Ndugu wana JF ambao ni wapenzi wa timu ya Yanga mnaombwa kujitokeza katika kusaidia kutoa maoni na ushauri kwa ajili ya mchakato mzima wa kuanzisha tovuti ya klabu yetu ya Yanga..Wazo la kuanzisha Tovuti hii limeanzia kule kwenye blog ya Yanga Yanga ambapo baadhi ya wapenzi wenye nia njema walishauri ianzishwe Tovuti ambayo itakuwa ni chanzo kizuri cha habari ya klabu yetu kwa kushirikiana na blog yetu hiyo.....So ni matumaini ya walio wengi kwamba mtajitokeza na kutoa maoni yenu ya nini kifanyike katika kuianzisha Tovuti hiyo...Yanga Daima mbele,Nyuma mwiko