website ya timu yetu haiitaji miezi minne au sita. hili tunaweza kulifanya ndani ya wiki chache tu na kuwa na website nzuri. La maana ni kuwa na chanzo cha habari na kuanza kudigitize habari mbalimbali za klabu through the years. Jambo moja ni kuwa hiyo website isiwe mali ya klabu. Iwe ni ya mashabiki na wote wanaofanya shughuli zake wafanye kwa kujitolea. Nje ya hapo, basi timu yenyewe ifanye mambo haya na mashabiki wafanye mambo yao.
Jamani ehhh, na timu yangu ya zamani ikiwezekana msiisahau. Au watu wa Simba humu ndani ni Wahindi kikwelikweli? Kuna zile picha za historia ya Tanzania, kule kuna picha nyingi sana na zikusanywe zile na nyingine nyingi na ziwekwe pamoja. Yanga wawe na yao na Simba wawe na yao. Hizi timu ni part ya historia ya Tanzania.
Mzee wahistory uliiona historia tarehe 31-10-2009... Mtani usikisahau hiki kipande kwenye website ya yeboyebo.com "Historia inasema Yanga ya Tanzania haijawahi kufungwa na Simba ya Ilala ktk uwanja wa mpya wa taifa...Hivyo mi nadhani historia itasimama kama ilivyo more than 10 yrs.....mpo?"yanga jana, leo, daima...
Hiyo web ianzishwe faster bila kusahau kipengele cha History ambapo watu watapata kufahamu kuwa mwaka 1972 simba koko waligeuza basi chang'ombe na hawakufika Taifa kwa ajili ya pambano lao na Yanga.
Mzee wahistory uliiona historia tarehe 31-10-2009... Mtani usikisahau hiki kipande kwenye website ya yeboyebo.com "Historia inasema Yanga ya Tanzania haijawahi kufungwa na Simba ya Ilala ktk uwanja wa mpya wa taifa...Hivyo mi nadhani historia itasimama kama ilivyo more than 10 yrs.....mpo?"
Mmesha mlipa Kodic Mishahara yake ya miezi 4, kama hamjamlipa muweke hiki kipande pia Yanga ya Mafisadi ya shindwa kumlipa Kocha mishahara ya miezi minne hapo itakuwa historia imetulia..
Halafu nasikia Phiri anataka Mechi ya kirafiki na Yanga kesho baada ya mechi yetu na Mtibwa teh teh teh
Sina ubishi kwenye swala la yanga kuanzisha website naliunga miguu na ninajua faida za website kwani hata ya simba iko kwenye mchakato...kwa mjibu wa masatu siyo website tu bali uwanja na kukalabati jengo letu..na yote haya tutayafanya bila kutengemea mafisadi kama livyofanya vyieDah!!,yaani bado una UTANI wa enzi za kijima mazee(bado una mawazo ya akina Mzimba na Dalali aisee).Cha msingi hapa ni kutoa tu pongezi kwa Yanga kwa hatua hii nzuri ya kuanzisha tovuti yake kwani kwa Dunia ya sasa tovuti ni njia rahisi sana ya kupashana habari(mfano JF) na pia Timu yaweza kuitumia tovuti hiyo kutangaza biashara za makampuni mbali mbali na kujiongezea kipato.Pia timu inaweza kuitumia tovuti hiyo kujitangaza(kuwatangaza wachezaji wake katika anga za kimataifa)...Binafsi ningefurahi zaidi endapo ungekuja na wazo la kuitaka Simba ianzishe tovuti yake kama ilivyo kwa Yanga ama Mtibwa Sugar....Pamoja mkuu
Kila la heriSina ubishi kwenye swala la yanga kuanzisha website naliunga miguu na ninajua faida za website kwani hata ya simba iko kwenye mchakato...kwa mjibu wa masatu siyo website tu bali uwanja na kukalabati jengo letu..na yote haya tutayafanya bila kutengemea mafisadi kama livyofanya vyie
tuko pamoja
Dah!!,yaani bado una UTANI wa enzi za kijima mazee(bado una mawazo ya akina Mzimba na Dalali aisee).Cha msingi hapa ni kutoa tu pongezi kwa Yanga kwa hatua hii nzuri ya kuanzisha tovuti yake kwani kwa Dunia ya sasa tovuti ni njia rahisi sana ya kupashana habari(mfano JF) na pia Timu yaweza kuitumia tovuti hiyo kutangaza biashara za makampuni mbali mbali na kujiongezea kipato.Pia timu inaweza kuitumia tovuti hiyo kujitangaza(kuwatangaza wachezaji wake katika anga za kimataifa)...Binafsi ningefurahi zaidi endapo ungekuja na wazo la kuitaka Simba ianzishe tovuti yake kama ilivyo kwa Yanga ama Mtibwa Sugar....Pamoja mkuu
Tumeweza kushinda mechi 11 mfullulizo tutashindwa kufungua website...Kupaka rangi jengo lao tu ni utata wameshindwa...
Je lufungua web wataweza?
Tumeweza kushinda mechi 11 mfullulizo tutashindwa kufungua website...
kufungua website siyo issue kivile labda quality ya website ndiyo issue..
"...Abasi Gulamali raisi wa yanga....Yanga Afrika, Yanga Afrika mabingwa wa soka Afrika Mashariki na kati eeeeh heeee!!"
Hiyo ni sehemu tu ya lile dude....kuna mjinga mmoja wakati wa high school ilikuwa Yanga ikishinda lazima bweni likeshe, yeye Pepe Kale mie Bileku Mpasi tunawatumbuiza na "Yanga Afrika"!! Hahahahaha....
Sawa mmeshinda mechi kumi na moja well, lakini kuna mambo ya msingi mnatakiwa muyafanye ili muweze kung'ara zaidi.
Kwanza mnatakiwa mpake rangi jengo lenu pale msimbazi. Pili mnatakiwa muweke vyoo jengo lenu, sio watu wanajisaidia vichochoroni na kwenye korido, pia mtafute sehemu ili mnunue na kuufanya uwanja wenu wa mazoezi na si kutanga tanga.
Na pia muachane na mfumo wa kutembeza bakuli pindi mnapohitaji pesa, mnatakiwa mjijengee mirija ya fedha zitakazowasaidia kuwafanikishia mambo yenu ya msingi.
Igeni mfano wa Yanga...ukiwa kagera ama pale usalama unaliona jengo lao linalong'aa huku madirisha yake yakiwa ya kisasa zaidi...yanga jana, leo,, daima