Website Ubalozi aibu tupu

Ndugu Ckabula, ni waandikia barua ubalozi wa tanzania washongton na kopi yake ilikwenda wizara ya mambo ya nje,Mpaka leo hakuna marekebisho yoyote waliyo fanya. Nadhani mimi ndiye niko wrong ina wezekana wanaona sawa na data zao walizo ziweka kwenye li website lao ambalo wametengenezewa na muhindi.
 
kama muhindi ndio hizo picha za msosi zimekaa kihindihindi.
 
Yaleyale ya kutegemea kuvuna madafu kwa kupanda chelewa.. Sasa nyie mlitegemea nini tofauti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…