Website tano bora za ajira

Website tano bora za ajira

Hao Mabunde sometime wanapost fake vacancy!Kuna site kama EmpowerRecruitment,CVpeople,Raddar recruitment,BlueRecruitment,KP recruitment ,Zoom Tanzania,Ajiriwa.net ,MkaguziBlog.com.
Ila sijawahi pata kazi wala tender pitia hawa recruitment mara nyingi kupata tender au kazi ni struggle zangu.

Kupitia Ajiriwa.net nishapataga interview TPB Bank,CRDB,KP nishapata interview ,Empower washanipigia mara nyingi lakini sijawai enda kwenye interview zao,Zoom Tanzania nishapata interview kama 3 ,the same as Raddar recruitment washanipigia mara kibao ila sijawai enda kwenye interview zao.

Sipendi recruitment anayepiga sim harafu hasemi kampuni unayoenda kupigiwa interview ni kampuni gani na inahusika na nini ndio maana sometime napotezea interview,Sipedi recruiter anakupigia sim harafu ana force kesho uje kwa interview,sipendi blog zinazopost kazi au tender harafu haziweki official email mfano unasikia wameweka hr.gfconsultancy@gmail.com au yahoo hapo hiyo kazi au tender situmi maombi kabisa mara nyingi ni fake vacancy au matapeli.
 
Leo nakuletea website tano bora zenye habari za ajira, kaa na mimi.

1. Storikka - storikka.co.tz

2. Mabumbe

3. Ajiraleo - ajiraleo.com

4. Brightermonday - brightermonday.co.tz

5. Ajiraportal - ajiraportal.ac.tz

Ongezea na za kwako.
Unistore Jobs
 
Ukienda pale watakupiga kielfu kumi champ wakuache solemba

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe mkuu kumbe unawajua vizuri ni wasanii wale.
Kuna mwaka waliwahi kuniita wakijua mm npo desperate sana na kazi.
Kisha wakataka nichangie elfu 10 niliwagomea baadae wakamuita mkurugenzi wao wakijua nitamuogopa msimamo wangu ukawa uleule wakanifanyia interview ya magumashi baadae nikasepa nikawaacha wamepanic.
 
brightermonday mizinguo tu pale. Kupata kazi kupitia wao ni ngumu sana lazma uwe na connection. ila Mabumbe ndo naona ipo vizuri kwa sasa
Brighter monday na mabumbe ndio wapo vizuri.
Mimi ajira yangu ninayoifanya sasa hivi ilitangazwa Brightermonday.
Pia niliwahi kualikwa interview kadhaa kupitia Mabumbe na Brightermonday.
 
Hao Mabunde sometime wanapost fake vacancy!Kuna site kama EmpowerRecruitment,CVpeople,Raddar recruitment,BlueRecruitment,KP recruitment ,Zoom Tanzania,Ajiriwa.net ,MkaguziBlog.com.
Ila sijawahi pata kazi wala tender pitia hawa recruitment mara nyingi kupata tender au kazi ni struggle zangu.

Kupitia Ajiriwa.net nishapataga interview TPB Bank,CRDB,KP nishapata interview ,Empower washanipigia mara nyingi lakini sijawai enda kwenye interview zao,Zoom Tanzania nishapata interview kama 3 ,the same as Raddar recruitment washanipigia mara kibao ila sijawai enda kwenye interview zao.

Sipendi recruitment anayepiga sim harafu hasemi kampuni unayoenda kupigiwa interview ni kampuni gani na inahusika na nini ndio maana sometime napotezea interview,Sipedi recruiter anakupigia sim harafu ana force kesho uje kwa interview,sipendi blog zinazopost kazi au tender harafu haziweki official email mfano unasikia wameweka hr.gfconsultancy@gmail.com au yahoo hapo hiyo kazi au tender situmi maombi kabisa mara nyingi ni fake vacancy au matapeli.
Kweli wanaboa hata mimi nishawahi kuitwa kwenye interview moja kwenye NGO kubwa tu hr alitaka kesho niende interview wakati anafahamu mahali ninapokaa na ninapoenda kwenye interview ni tofauti inanibidi nisafiri nikapotezea tu
 
Back
Top Bottom