Website tano bora za ajira

Website tano bora za ajira

dogoodesign

Member
Joined
Oct 21, 2019
Posts
41
Reaction score
21
Leo nakuletea website tano bora zenye habari za ajira, kaa na mimi.

1. Storikka - storikka.co.tz

2. Mabumbe

3. Ajiraleo - ajiraleo.com

4. Brightermonday - brightermonday.co.tz

5. Ajiraportal - ajiraportal.ac.tz

Ongezea na za kwako.
 
Naona umekuja kutangaza kiji site chako hapa. Hapo mabumbe na ajira.go.tz ndo site za uhakika
 
Brightmonday hakuna kitu apo bro na jamaa angu ameapply zaidi ya mara 100 na hajawai itwa
Inategemea tuu na bahati mimi kazi nayofanya sasa niliomba kupitia brightermondays tena ili kuwa kwa mara ya kwanza kuombea pale,so usikate tamaa
 
brightermonday mizinguo tu pale. Kupata kazi kupitia wao ni ngumu sana lazma uwe na connection. ila Mabumbe ndo naona ipo vizuri kwa sasa
 
Back
Top Bottom