Website katika bango la Chuo cha Takwimu (Eastern Africa Statistical Training Centre) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Website katika bango la Chuo cha Takwimu (Eastern Africa Statistical Training Centre)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sinkala, Sep 23, 2009.

 1. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Jamaa hawa wa EASTC hawako serious. Chuo kile kina wanafunzi wengi wa kigeni kutoka South Africa, Zimbabwe, Zambia, Sudan na nchi nyingine zinazotuzunguka, na kina nafasi ya kuwavutia wanafunzi wa kigeni wengi zaidi kwa kupitia mtandao wa internet hivyo kuwekeza fedha za wageni humu nchini, na ni vizuri website yake ikawa na maelezo sahihi. Katika address za internet, kosa katika herufi au tarakimu moja linasababisha ufungue kitu kingine kabisa au usipate unachotaka. Sasa hapa jamaa wa EASTC wameweka website ambayo TLD yake inasomeka .as badala ya .ac , ambayo ni country-code top-level domain designated for American Samoa. Cha ajabu pande zote mbili za bango kuna kosa hilo hilo! Sasa sijui huwa hawaoni au wamekosa washauri! Nimeweka picha ya bango na kuonyesha kosa lao kwa mshale mwekundu. Biashara ni matangazo, sasa kama matangazo yenyewe ndo haya, hatutafika !

  [​IMG]
   
  Last edited: Sep 25, 2009
 2. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2009
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 2,897
  Trophy Points: 280
  Nadhani watakuwamo humu wanachungulia
   
Loading...