Website Gazeti TZ Daima vipi?

MJIMPYA

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
506
271
Hili gazeti la TZ Daima, habari zake kwenye mtandao zinabadilishwa baada ya siku kadhaa, ukifungua leo unakuta news za J3, Vipi?
Tafadhali nendeni na wakati badilisha habari haraka. Msiwe kama Majira make nao wiki nzima habari haijachange.
 
Website makini ni ya GAZETI LA MWANANCHI wao kila siku ikifika saa 5 usiku mpaka saa 6 usiku basi gazeti la siku inayofuata lazima utalikuta mtandaoni, na mwanahalisi ndio kero tupu wao gazeti la wiki hii wanaliweka mtandaoni wiki ijayo huu ni ushamba wa Wabongo, wanadhani kila mtu ana access ya kupata hard copy.
Acheni hizo nyinyi watu wa media.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom