Hy jamani nilikua naomba mnisaidie software yaku design website bila ya ku2mia HTML code.so ambayo inaji code yenyewe.nakdabizi kwenu
NAKUSHAURI tumia notepad halafu penda code aise
artisteer
artisteer
Is it for professionals too?, if not which one is for professionals?. Thanks.
artisteer ni kwa amateurs na pros, tena ukiwa pro ndo utaifurahia
Angalia sasa namna ulivyoniharibia biashara yangu tarehe 9 september 2012 yaani mwaka uliopita katika post yako namba 2 kama unavyoweza kuisoma katika uzi huu: https://www.jamiiforums.com/tech-ga...geneza-tovuti-ya-mchungaji-paulo-fadhili.html
Mpaka leo sijawahi kutengeneza site hiyo. Leo unasema iko okay kwa wote hadi PROFESSIONALS!!!!!!!!!!!!
tatizo la graphic designing, limit is ur imagination, na kuwa na silaha kubwa haimaanishi utaweza kuua, ukiitumia artisteer vizuri unatoa kitu kizuri tu
Jibu lako ni laini sana tofauti na swali langu. Ikiwa unaikubali hivyo artisteer kwanini hukuni-support hivyo katika thread ile?, kinyume chake ulipondea na mteja (wateja) wangu akakimbia.
LAZIMA UJUWE NAMNA YA KUCHANGIA BAADHI YA nyuzi zinazoletwa hapa. Kama tunakurupuka tu from no where na kuchangia utumbo pasipohitaji utumbo tujuwe tunawaharibia wengine maisha na ndoto zao bila sababu.
mambo mengine uwe unakuja pm kupata siri za kutoka, sio kila kitu hapa mkuu fadhili