Joeli
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 4,941
- 3,414
Mkuu, hongera sana kama ulishatoka.
Itakuwa vizuri sana kama utazimwaga hapa hadharani hizo siri za kutoka mkuu, kwani naamini kuna members wengi sana humu wanaozihitaji pia hizo siri, haitakuwa uungwana kunipendelea mimi peke yangu kiasi hicho.
Mwaga hapa tu Mkuu kwa manufaa ya wengi.
we ukiwa na kazi nipe, kisha utaelewa namaanisha nini mkuu wangu, tuliza munkari mkuu Fadhili Paulo, wewe ndo unaejua nini cha kufanya. usitegemee ushauri tu, wala usitegemee njia moja tu, au software moja tu, sikukupotezea mteja mkuu ulimpoteza mwenyewe, kama kweli una nia unajua cha kufanya, uwe wise
Last edited by a moderator: