Website designing na kutengeneza systems mitandaoni kama vile forums na social networks

kali linux

JF-Expert Member
May 21, 2017
1,996
5,054
Wasaalam wakuu. mimi ni kijana wa miaka 17. nina uwezo wa kudesign websites from scratch. natengeneza dynamic websites yaani website ambayo contents zake zinaweza kuwa updated muda wowote na mwenye hio website. situmii website au blog engine yoyote kama vle wordpress coz hizo zinalimit uwezo wa website bali mimi unaniambia tu website yako unataka iwe ya aina gani na iwe na system gn thn mimi naanza kuiprogram.

pia nna uwezo wa kutengeneza forums na social networks from scra
tch yaani bila kutumia scripts za watu wengine. Pia natengeneza app

s kwaajili ya website mbalimbali

Kwa sasa nafahamu programing languages hizi
PHP
HTML
CSS
JAVA
XML
JAVASCRIPT

C++(BASIC LEVEL)

ukitaka nikutengenezee kazi yoyote just wasiliana na mimi unipe jinsi unataka web yako ionekane thn mimi ntafanya hio kazi kwanza na nikimaliza ntaihost kwenye server yangu kisha ukiiangalia ukaridhika hapo ndipo utakapo nilipa na mimi ntakukabidhi na kuihost wewe unapotaka.

ELIMU:
mimi sijasomea programming chuoni wala shuleni lkn nlifundishwa na Baba yangu(marehemu) lkn nina amini uwezo nlionao kwenye programing unaridhisha
 
Hongera. Umenikumbusha. Mimi pia niljifunza hiz language nikiwa form 6. Nimekuja kuingia chuo nipo vizuri katika Website development. Kilichonilet down chuon sikuweza kupana nafasi ya kusoma computer science. Na interest ikafa kbsa
 
Asante mkuu
 
hongera una umri mdogo Ila upo vizuri sana unda apps au website yako ww ukamate member wengi km jf
 
Wasaalam wakuu. mimi ni kijana wa miaka 17. nina uwezo wa kudesign websites from scratch. natengeneza dynamic websites yaani website ambayo contents zake zinaweza kuwa updated muda wowote na mwenye hio website. situmii website au blog engine yoyote kama vle wordpress coz hizo zinalimit uwezo wa website bali mimi unaniambia tu website yako unataka iwe ya aina gani na iwe na system gn thn mimi naanza kuiprogram.

pia nna uwezo wa kutengeneza forums na social networks from scra
tch yaani bila kutumia scripts za watu wengine. Pia natengeneza app

s kwaajili ya website mbalimbali

Kwa sasa nafahamu programing languages hizi
PHP
HTML
CSS
JAVA
XML
JAVASCRIPT

C++(BASIC LEVEL)

ukitaka nikutengenezee kazi yoyote just wasiliana na mimi unipe jinsi unataka web yako ionekane thn mimi ntafanya hio kazi kwanza na nikimaliza ntaihost kwenye server yangu kisha ukiiangalia ukaridhika hapo ndipo utakapo nilipa na mimi ntakukabidhi na kuihost wewe unapotaka.

ELIMU:
mimi sijasomea programming chuoni wala shuleni lkn nlifundishwa na Baba yangu(marehemu) lkn nina amini uwezo nlionao kwenye programing unaridhisha

How about posting your job opportunity kwenye website ya ajira? => Ajira | Tanzania's Definitive Job Site For Professionals!
 
Niko serious nataka YouTube Chanel na blog.
Mkuu NP tuongee biashara ya kukufungulia youtube channel, blogs nk. Na nitakusadia jinsi ya kupata views, subscribers, jinsi ya kufanya youtube channel yako iwe namba 1 pale mtu anapoingia kusearch youtube kitu chochote.

Ndani ya mwezi 1 utaona matunda.

Njoo PM kama uko serious.
 
Back
Top Bottom