Website Designer needed!Who can reproduce the website

Wadu natafuta website designer atakae tengeneza website kama hiyo hapo chini,nitaifanyia malekebisho machache to katika muonekano na mbangilio: if you can,urgently send me and e-mail with your price quote na potifolio of website you have created so far:

The website is:John Lewis | iPads, TVs, Furniture, Fashion & More

Send me details as info@sottapartners.co.tz

Dah Kiongozi unataka kucopy website ya John Lewis?? halaf atengeneze designer mmoja?? Hilo haliwezekani hata kidogo, utapata front page tu inayofanana na hiyo website na sio website nzima au hata robo yake. John Lewis ni kampuni kubwa sana UK, nadhani unalitambua hilo... Website yao ina page zaidi ya LAKI MOJA, Na kuna ITEMS Zaidi ya LAKI moja, ina filters zaidi ya 700, Mega menu yenye links kama elf mbili, na mambo mengi sana ya zaida ambayo HAYAWEZI KUFANYWA NA MTU MMOJA. Hiyo ni kazi ya TEAM Nzima ya Designers, na baadae DEVELOPERS... KWa Tanzania utahangaika sana, Watu wana edit templates tu... Sana watakutengenezea "Out Of the Box" Magento Site, drupal commerce, au Presta Shop nk. Lakini sio kutoa kitu kama cha John Lewis...
Pili Kama ukifanikiwa kuicopy, jiandae na LAW SUIT au google na SE nyingine hawatailist Website yako kwenye index zao (copyright infringement).
By the way utauza nini kwenye website kama hiyo ikiwa kuitengeneza tu unataka mtu acopy>????
 
Kwa maelezo haya hawezi kurudi cjui lakn
 
that us true mkuuulichosema ni kweli kabsa
 
Naamini mtoa mada amepata mteja anayehitaji e-commerce website, Ni ngumu kukopi idea ya mtu. Ni vema kuandaa kitu kipya, kuandaa site kwa custom coding mpaka kufika hapo si ishu ndogo. The best way ni kutumia e-commerce scripts kama prestshop na nyingine nzuri na kuziandalia themes nzuri. Development ya mpaka kufikia hapo si ya ghafla, ni maendeleo ya taratibu. Utaongeza features zile unazohitaji, mwisho wa siku utajikuta na kitu kizuri.

Tuchukulie JF ilivyoanza <2008, Hakika haikuwa na muonekano waleo na features za leo. Bali baada ya muda kwenda mahitaji ya kitu yanaonekana na ndipo kinafanyika.
 
Back
Top Bottom