webisite ya wanafunzi wa sekondari na walimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

webisite ya wanafunzi wa sekondari na walimu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by james nderimo, Jul 7, 2011.

 1. j

  james nderimo Member

  #1
  Jul 7, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  habari zenu...!wakati niki sirf kwenye tovuti mbalimbali nimegundua kuwa kun awebsite ambayo wanafunzi na walimu wanaweza kuitumia inaitwa www.SONGOKA.COM sasa kama wadau wa elimu jaribu kuangalia jinsi gani mnaweza kufanya websitre hii iweze kukuwa na wanafunzi wapu nguze matumizi ya facebook
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mbona hakuna kidato cha 5+6????nahitaji wanafunz wangu wanufaike na hii web
   
 3. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,813
  Trophy Points: 280
  ni nzuri ... inawafaa sana wanafunzi wa sekondari... kama weye ni mmoja wa waanzilishi wa hiyo site .. hebu wekeni sehemu maalumu ya council kwa ajili ya wanafunzi wanaomaliza form 4 .. combinations gani zitawafaa wakiingia A- leval...

  vijana wengi wanafata mkumbo na kusoma combinations ambazo hawana uwezo nao, natarajia siku nikirudi TZ nitaenda katika shule niliyosoma mimi na kuongea na wanafunzi kuhusu hili jambo.
   
 4. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #4
  Jul 7, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Haya songokeni tena.
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Jul 8, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Tunashukuru.
   
 6. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #6
  Jul 8, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  au ingekuwa www.chabo.com ingependeza maana madenti kwa chabo.
   
 7. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #7
  Jul 8, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Chabo hii hii 'chabo' au ile chabo'?
   
 8. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #8
  Jul 9, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  hlf wewe! Mi sijui chabo nyingne..
   
 9. j

  james nderimo Member

  #9
  Jul 10, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka wizara inashugulikia hilo swala.wataweka kila kitu ili wanafunzi na walimu waweze kupanua njia za kufaulu zaidi.
   
Loading...