Joeli
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 4,941
- 3,416
Bongo wote ni mawakala lakini wapo waliofresh. Sidhani kama kuna competitor wa extremeweb hapa bongo. Cha muhimu unatakiwa kutumia kampuni iliyosajiliwa. Hao wanaosema $2 au 1 kwa mwezi bado ukifanya kwa mwaka bei ni ile ile ya hapa bongo. Pia wanabana kwenye monthly BW na services zingine
extreme wana nini cha ajabu? Hamna kitu hapo. Uwa nanunua domain kwao . Siku moja nawapigia simu wanibadilie nameserver wanatoa macho tu wananiambia eti domain haijawa registered na wao. Nikasema hawa vilaza kweli.