Webhost Host Gani anahuduma nzuri

Webhost Host Gani anahuduma nzuri

Brodre

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,587
Reaction score
1,858
Habari za sahivi wanajamii Naomba niulize Ni host gani ambaye ni mzuri na cheap nimehost site na Godaddy lakini ni majanga zaidi ya majanga. Website yangu inatakiwa kuwa online 24/7 afu nahtaji unlimited bandwith pamojana unlimited disk space please recomend.
Msamiati C6 Stefano Mtangoo Nyasiro
 
So mtaalamu kwenye hayo mambo ila ninazo basics

Namashaka naukisemacho kua godaddy ni majanga...wakati m nasikia huyo ndo Best host kwenye hii biashara
Basi jaribu 1&1 maana ndo anakuja baada ya godaddy
Infact kama umem diss godady nakushauri tafuta VPS au Dedicated server yako Intall apache utaweza hata host multiple websites upendavyo

Vinginevyo mcheki Donn atamaliza kazi yako
 
Last edited by a moderator:

goddady ni majanga mkuu. walishaniliza sana. host mzuri anacharge bei kubwa kikawaida.

hawa ndio hosting wazuri hawajawahi kuniangusha
EXTREMEWEB TECHNOLOGIES - DAR tshs115000
INFOCOM CENTER- ARUSHA tshs50000
IMATIC TECHNOLOGIES -DAR tshs 70000
gharama hizo ni kwa domain za .com

kwa maelezo zaidi ni PM

kwa hosting za nje tumia BLUE HOST
 
mimi nimetumia smarterASP jamaa wapo fast wanakupa trial ya miezi 2 utest, bei zao zinaanzia dola 2.95 kwa mwezi, unaweza jisajili trial uka evaluate.

ila hupewi domain, ukitaka domain utaongeza dola 10.

pia sikushauri hawa wanaohosot bongo wengi ni mawakala wa hosting za ulaya na marekani server zao hazipo bongo.

ASP.NET Hosting with Advance Control Panel

unaweza cheki review zao online
 
Bongo wote ni mawakala lakini wapo waliofresh. Sidhani kama kuna competitor wa extremeweb hapa bongo. Cha muhimu unatakiwa kutumia kampuni iliyosajiliwa. Hao wanaosema $2 au 1 kwa mwezi bado ukifanya kwa mwaka bei ni ile ile ya hapa bongo. Pia wanabana kwenye monthly BW na services zingine
 
smarterasp wanatoa unlimited bandwitch, cha muhimu ni speed ya server unaweza toa mfano wa website waliohost hao jamaa tuone speed yake?
 
Http:totalsolution.co.tz
Http:crossmaasaicampssites.com

Zote hizo zimehostiwa kwenye SOHO plan ambayo ndio plan ndogo kabisa kwao yenye monthly bw ya 10gb na 250hdd space na unlimited emails.

Wana plan zingine za juu kabisa,

Kwa Imatic technologies nao kuna plan kadhaa ambazo zinaanzia 10gb Bw na unlimited emails
 
Asanteni kwa mawazo yenu
 
goddady ni majanga mkuu. walishaniliza sana. host mzuri anacharge bei kubwa kikawaida.

hawa ndio hosting wazuri hawajawahi kuniangusha
EXTREMEWEB TECHNOLOGIES - DAR tshs115000
INFOCOM CENTER- ARUSHA tshs50000
IMATIC TECHNOLOGIES -DAR tshs 70000
gharama hizo ni kwa domain za .com

kwa maelezo zaidi ni PM

kwa hosting za nje tumia BLUE HOST

tunaomba utueleze majanga ya godaddy. na wanalizaje mtu??
 
Http:totalsolution.co.tz
Http:crossmaasaicampssites.com

Zote hizo zimehostiwa kwenye SOHO plan ambayo ndio plan ndogo kabisa kwao yenye monthly bw ya 10gb na 250hdd space na unlimited emails.

Wana plan zingine za juu kabisa,

Kwa Imatic technologies nao kuna plan kadhaa ambazo zinaanzia 10gb Bw na unlimited emails

speed average sio mbaya wala sio nzuri, kwa website kama hizo sio mbaya ila kwa website kama jf na nyengine kama blogs zinazotembelewa mara kwa mara haifai
 
Habari za sahivi wanajamii Naomba niulize Ni host gani ambaye ni mzuri na cheap nimehost site na Godaddy lakini ni majanga zaidi ya majanga. Website yangu inatakiwa kuwa online 24/7 afu nahtaji unlimited bandwith pamojana unlimited disk space please recomend.
Msamiati C6 Stefano Mtangoo Nyasiro

Nitafute kwenye hii number 0767291335, 2nareliable hosting server na unapata unlimited bandwidth, email accounts and disk space.
 
speed average sio mbaya wala sio nzuri, kwa website kama hizo sio mbaya ila kwa website kama jf na nyengine kama blogs zinazotembelewa mara kwa mara haifai

Yap. Ndo maana nikasema hiyo ndo smaller package kwao wanazo plan zingine kubwa zaidi pia cpanel yao ina services na software nyingi
 
tunaomba utueleze majanga ya godaddy. na wanalizaje mtu??

Goddady client management system yao sio ya uhakika. unaweza ukawa wewe ni reseller wao ukaregister domain then baada ya siku chache wanaiweka kwenye mnada. Hawashughulikii madai. Na pia hawana cha kurefund. Godady waliniliza domain 3 kwa mpigo bila sababu tena baada ya kuzizuia wanaziweka kwenye auction ambapo huwezi kuikomboa haraka. Kila reseller ukimuliza kuhusu godady lazima akutahadharishe
 
So mtaalamu kwenye hayo mambo ila ninazo basics

Namashaka naukisemacho kua godaddy ni majanga...wakati m nasikia huyo ndo Best host kwenye hii biashara
Basi jaribu 1&1 maana ndo anakuja baada ya godaddy
Infact kama umem diss godady nakushauri tafuta VPS au Dedicated server yako Intall apache utaweza hata host multiple websites upendavyo

Vinginevyo mcheki Donn atamaliza kazi yako
godaddy wapuuzi sana, customer support yao ya kijinga sana. Baada ya kuwa na na ma website mengi wanayoshugulikia wamekuwa hawana muda na wateja, mie sitaki kabisa kuwasikia godaddy
 
Wee acha hao jamaa sitaki kuwasikia. Kwao mnada ndo kitu wanachofikiaria
 
Habari za sahivi wanajamii Naomba niulize Ni host gani ambaye ni mzuri na cheap nimehost site na Godaddy lakini ni majanga zaidi ya majanga. Website yangu inatakiwa kuwa online 24/7 afu nahtaji unlimited bandwith pamojana unlimited disk space please recomend.
Msamiati C6 Stefano Mtangoo Nyasiro

Nakushauri kwanza kuondoa neno unlimited katika utafutaji wako, kwa unlimited ni overselling of resources. Unaweza pata 99.9-100% uptime kwa mwezi bila shida. Unaweza angalia kwenye website yetu Plan Itayo kufaa, naamini kwa mwezi hutumii zaidi ya 100GB Bandwidth na wala site yako haizidi 5GB. https://www.yatosha.com

Unaweza ni PM kwa custom plans.
Thanks

So mtaalamu kwenye hayo mambo ila ninazo basics

Namashaka naukisemacho kua godaddy ni majanga...wakati m nasikia huyo ndo Best host kwenye hii biashara
Basi jaribu 1&1 maana ndo anakuja baada ya godaddy
Infact kama umem diss godady nakushauri tafuta VPS au Dedicated server yako Intall apache utaweza hata host multiple websites upendavyo

Vinginevyo mcheki Donn atamaliza kazi yako

Ahsante kwa Recommendation njunwa wamavoko, I appreciate It.
 
Last edited by a moderator:
tunaomba utueleze majanga ya godaddy

Mkuu hapa nilipo kuanzia asubuh web yangu ina load tu mpaka nishushe pages zote nikiweka moja ya index ambayo nimeandika site down for maintainance inakubali ila nikirudisha pages zangu nyingine ndio majanga yanaanzia hapo wakati nyuma ilikua inafunguka vizuri sema slow...

mpaka sahivi hawajanijibu kitu na nimejarbu pitia baadhi ya wengine wanaohost na godaddy wanasema ina matatizo pia na site yangu inahitaji kkuwa hewani 24/7 sababu ya traffics wako wengi i kama e commerce site
 
Nikushauri. Kama unaweza kupata Epp key ya domain yako, ni bora uihamishie bluehost kama unalipia mwenyewe bila kupitia reseller.
 
Kuna kampuni inaitwa Great Lakes Technologies wapo Ubungo ni wazuri sana wana host na wanakufungulia jina la website yako iwe .com,.or,.org,.ac n.k. na kudesign website.Wasiliana na ndugu huyu kwa maelezo zaidi 0715 986353
 
Back
Top Bottom