tafuta sababu nyingine ya kufungwa kwa chelsea na sio kumsingizia mwamuzi kwani kwanini waliwaruhusu man u wakaingia mpaka kwenye kumi na nane yao...ukibebwa jishikie..know how to defend your win ,from 3-0 to 3-3 well done man u...
C.......mkifungwa na Man U mnasingizia refaa, mbona mkifungwa na timu nyingine hamsemi, huo ni ujinga: tena mshukuru Mungu muda uliisha vinginevyo msingeambulia hata hiyo pointi 1