!!!!!web hosting!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

!!!!!web hosting!!!!!!!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by wickerman, Jun 1, 2012.

 1. wickerman

  wickerman JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  OKAY PEOPLE NIMEONA NI BORA NIWATAARIFU NA NYIE ILE MUWEZE KUFURAHIA HUDUMA HII.


  SWALA LA WEB HOSTING LINAWAUMIZA WATU WENGI SANA HASA PALE WANAPOFIKIRIA MALIPO. JE UTAJISIKIAJE KAMA UTAWEZA KUPATA KARIBIA ASILIMIA 60% YA SERVICES AMBAZO ZINATOLEWA NA HOSTs MBALIMBALI. ALTHOUGH KUMBUKA KUWA SIO KWAMBA UTAPATA A ".COM, .NET, .ORG" ILA UTAWEZA KUFAIDIKA BILA MALIPO YOYOTE NA WEBSITE YAKO IKAWA ONLINE. CHA KUFANYA CLICK LINK IFUATAYO:

  WWW.000WEBHOST.COM/590093.HTML


  BAADA YA KUJIUNGA UNAWEZA KUPATA HUDUMA NYINGI MFANO : FTP,SMTP,PERSONAL EMAILS..... ETC.

  KUMBUKA HII NI KAMA FOUNDATION YAKO WEWE KWENYE KUWEKA WEBSITE YAKO MTANDAONI.
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Jun 2, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,784
  Likes Received: 7,103
  Trophy Points: 280
  ok nikupe ushauri tu kijana naona umeeka referal link ya 000webhost ili upate watu watakaoregister then upate hela sio.

  Kwa kifupi hiyo ni scam na usitegemee kulipwa hebu angalia link hii hapa chini

  000webhost scam affiliate - Utafutaji wa Google
   
 3. M

  Matunyengule JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 709
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Asante chief kwa kuelimisha na kutahadharisha.
   
 4. N

  Nyasiro Verified User

  #4
  Jun 2, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Dah! kumbe affiliated...labda atapata cjui ni sh ngapi/click
   
Loading...