Web development

Web development

Muntu Ya Pori

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
222
Reaction score
64
Habari wana Jamvi! I am a self taught fullstack Web and mobile developer, using JavaScript front-end and backed. Kwa wale wanaotaka kujifunza web development for fun or career. Nitaanza kutoa darasa bure kabisa kupitia posts kama series kupitia web application yangu ninayoikamilisha soon, https://instructeur.herokuapp.com unaweza kuina hapo ipo katika stage nzuri. Nikinunua domain name nitaupdate link, ila unaweza kujiunga na Kuanza kusoma na kupost Mada mbalimbali za kuelimisha watu wengine.

Pia nitafundisha jinsi ya kutengeneza native mobile application kwa kutumia react-native ambayo ni JavaScript library( wengine huita framework)
Katibuni sana sana
 
Back
Top Bottom