Karibuni tena marafiki katika sehemu nyingine ya HTML.Humu nimeendelea kuongelea kiundani html .Ili kumfanya biginner aelewe jinsi ya kuzitumia hizi elements na attributes.
HTML Atributes(sifa).
Attribute inatoa taarifa za ziada.
· HTMl elements(mambo) yanaweza kuwa na
Attribute.
·
Attribute inatoa taarifa zaziada kuhusu element.
·
Attribute inaelewa na tag ya kuuanzia(kitambulisho cha kuanzia
).
·
Attribute inakuja na jina/thamani jozi(pair) kama: jina=”Thamani”.
Attribute ya lugha.
Nyaraka ya lugha (document language) inaweza kuitwa ndani ya <html> tag.
Lugha inawekwa ndani ya
lang Attribute.
Uitwaji wa lugha ni muhimu sana kwa upatikanaji wa application(screen leaders) na search engines(injini ya utafutaji).
MFANO.
<!DOCTYPE html>
<html lang="en-US">
<body>
<h1>jina langu ni</h1>
<p>Haya yangu ya kwanza.</p>
</body>
</html>
Maelezo kuhusu mfano.
Herufi mbili za mwanzo zinataja lugha kuwa ni
(en).kama kuna ( dialect ).tumia herufi mbili zaidi
(us).
Sifa za kichwa (Title attribute).
Aya za HTML zina elezwa na
<p>tag.
Mfano.
<p title="Swahili kozi">
Lorem Ipsum is simply dummy text of the printing and typesetting industry. Lorem Ipsum has been the industry's standard dummy text ever since the 1500s
</p>
Maelezo kuhusu mfano.
<p>element ina title attribute.Na thamani yake ni “Swahili kozi”.
Ukipeleka mouse yako hadi kwenye haya maandishi kichwa kitajitokeza kama
tooltip.
Sifa za href (href attribute).
Links za HTML zinaelezwa na
<a>tag.Anuani ya link utolewa ndani ya
href attribute.
Mfano.
<a href="
www.jamiiforums.ml"> Hii ni link</a>
Tutajifunza Zaidi kuhusu links na
<a>tag baadae kwenye hii kozi..
Sifa za ukubwa (Size Attribute)
Picha za HTML zinaelezwa na
<img>tag.
Chanzo cha jina la file
(src).na ukubwa wa picha
(width na height) vyote vinatolewa kama
attributes.
Mfano.
<img src="
www.jamiiforums.ml/images/wd_03.png " width="154" height="47">
Ukubwa wa picha unaelezwa na pixels: width = “154” inamaanisha picha upana wake ni 154.
Tutajifunza Zaidi kuhusu picha na <img>tag mbele mwa hii kozi.
Sifa Mbadala (Alt attribute).
Alt attribute inatoa maandishi ya ziada yakutumia,Pindi element za HTML haziwezi kuonekana (HTML element canot displayed).
Thamani ya attribute inasomwa na “Screen readers”.Kwanjia hii mtu ambaye anasikiliza kupitia webpage, kipofu anaweza kusikia element.
Mfano.
<img src="
www.jamiiforums.ml/images/wd_03.png " width="154" height="47" alt=”
www.jamiiforums.ml”>
Napendekeza sikuzote weka quote kwenye thamani ya attribute (attribute value) jina“ qoute”.
HTML 5 haiitaji “qoute” pembeni mwake. Mfano wa href hapo juu.
Unaweza kufanywa kama ivi.
<a href=
www.jamiiforums.ml >
Katika HTML 4 inaitaji kutumia “qoute” na nyaraka kali kama XHTML.
Mda mwingine ni muhimu kutumia “qoute”.huu mfano hauto unesha vizuri kwasababu kuna nafasi:
<p title=kuhusu webdevelopment>
Kutumia “qoute” ni kawaida sana.kuto tumia kuna weza kuzarisha Makosa.
Single na Double quotes ?
Double aina ya “qoute” ndo inayotumika sana ndani ya HTML,
Lakini sigle aina ya ‘qoute’ inaweza kutumika pia.
Mfano.
<p title=”webdevelopment”>
<p title=’webdevelopment’>
Unaweza kutumia quote ndani ya quote yani single quote inaweza kutumika ndani ya double quote au kinyume.
<p title=’ “webdevelopment“ ’>
Au
<p title=” ’webdevelopment’ “>
Summary.
· Element zote za HTML zinaweza kuwa na
attributes(sifa).
· Kichwa
(title) cha HTML attribute kinatoa taarifa ya nyongeza.
· HTML
href attribute inatoa taarifa ya anunani kwajiri ya links(viungo).
·
Width na
Height attribute zinatoa taarifa za ukubwa wa picha.
Alt attribute inatoa maandishi kwaajiri ya screen readers(wasomaji screen).
Attribute zilizokuwepo chini zina tumika sana.
alt Inatoa maandishi ya ziada kwaajiri ya picha
disabled Inaeleza kwamba input element tabidi iwe disabled
href Inaeleza URL (web address) kwaajrli ya link(kiungo)
id inaeleza id ya kipekee kwaajiri ya element
src inaeleza URL (web address) kwaajiri ya image
style Inaeleza style ya ndani ya mstari kwaajiri ya element
title Inaeleza taarifa ya ziada kuhusu element(displayed as a tool tip)
<div> inaeleza section ndani ya nyaraka
<footer> inaeleza footer(mwisho wa page/taarifa za ziada zinazo onekana chini ya webpage) kwaajiri ya nyaraka au section
<nav> inaeleza link za urambazaji(navigation link)
<header> inaeleza header kwaajiri ya nyaraka(document) au section
<menu> inaeleza list/menu kwaajiri ya commands
<meta> inaeleza metadata kuhusu nyaraka ya HTML.
Anaruhusiwa mtu yeyote kuchangia..
Itaendelea ….