Web developers na designer ushauri

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Wakuu Nina tatizo anayejua anipe ushauri i wa kitaalam.
Ninadevelop ka webblogwesite kwa kutumia CMS sofware ya wordpress

ili niweze kufanya customisation nazotaka ninatumia webhost au webswever wengine na sio wordpress.com.

Sasa basi nimekuwa nakwenda vizuri kwa kujifunza kwenye net na nimewezea kutengenza vi-page na ka-blog.

Tatizo limekuja nilipotaka kudesign page fulani ya FAQ niliyoona sehemu. Hiyo page nikiweka kama html page inafanya kazi vizuri. lakini nikiiunganisha iwe dynamic page kwenye CMS ya wordpress inagoma kubehave kama inavyobehave kwenye HTML

Page yenyewe hii hapa http://teknohama.x10.mx/qna/http://teknohama.x10.mx/ict-doctor/
Nachotaka ni iweze kubehave kama page hii IT Dokta

Nikiiweka kwenye dynamic(php) maswali yanagoma kufunguka na kufunga. lakini nikiweka kwenye static page (html) yanafunguka na kufunga

What should I do?
 
Nadhani animatedcollapse.js haiload sawa kwenye hiyo dynamic.

badala ya
HTML:
<script type="text/javascript" src="js/animatedcollapse.js"></script>
jaribu
HTML:
<script type="text/javascript" src="../js/animatedcollapse.js"></script>
 
Nadhani animatedcollapse.js haiload sawa kwenye hiyo dynamic.

badala ya
HTML:
<script type="text/javascript" src="js/animatedcollapse.js"></script>
jaribu
HTML:
<script type="text/javascript" src="../js/animatedcollapse.js"></script>

Big up kamanda nimeelewa sasa. ningeweza ningekupa thanks 20.
Nilichofanya ni kukweka mkwaju tu yaani /js. Bila hata kutanguliza vinukta imekubali.

Thanks very much sasa naweza kuichakachua vizuri.
 
@kang
Thanks very much once again iko powa sasa.

yaani ilo tatizo lilinisumbua sana. nimeelimika sasa kuwa makini na njia sahihi ya ku declare path kwenye php page.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom