SukariTamu
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 295
- 59
Heshima mbele wakuu, natumaini muwazima. Wakuu natamani na napenda kuwa mahiri katika hii issue, lakini ndio ivyo elimu yangu hairuhusu kwa sababu nimeishia kidato cha nne na nipo kwenye field zingine za kusaka fedha mtaani..lakini hii kitu bado moyoni mwangu..je wakuu nitumie njia gani m'badala ili niweze kufanikisha hii ndoto inayoishi ndani yangu.?