Webbox ni reject technology ya ulaya. Ni toy internet na spidi yake ni gprs/edge ambayo ni very slow.
inatumia opera mini kama browser hivyo animations na video zinazihitaji flash haziwezi ku-load.
picha ni analogue maana zinapelekwa kwenye screen ya tv kupitia RCA cables kama za video deck
kwa watoto ni okay lakini bei ya 180000 ni heri utumie hiyo hela kwa jambo lingine la maana.
Asante Mkuu kwa taarifa hii, umetuepusha wengi kuingia mkengeWebbox ni reject technology ya ulaya. Ni toy internet na spidi yake ni gprs/edge ambayo ni very slow.