..wealth with chagga's..

SI unit

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
1,953
766
Mzee mmoja wa kichaga alikasirika binti yake alipojazwa mimba na pedeshee flani, coz bint alikua amemaliza form 4 anasubiri matokeo. Siku moja jamaa akaja na washenga kujitambulisha na kuweka wazi nia yake ya kumwoa yule binti.
Pedeshee: Mzee wangu samahani kwa fedheha uliyopata, lakin dhamira yangu ni kumwoa huyu binti.
Dingi: Msh*nzi mkubwa, kwanza we una sh. ngap ndo uoe bint yangu wewe.
Pedeshee: Punguza jazba mzee wangu, kwanza kwa aibu uliyopata kwa bint yako kuwa na mimba yangu "nje ya utaratibu", nakukabidhi hii hundi ya milion 10.
...
Baada ya hilo tukio dingi wa watu akawa mpole kwanza.
...
Pedeshee akaendelea, kama bint yako akijifungua mtoto wa kiume, nitakupa jengo la ghorofa 1 pale kariakoo, akijifungua wa kike nitakupa shamba la ekari 5 Mbezi beach, akijifungua mapacha nitakupa mgodi mmoja pale Mererani.
...
Dingi akadakia. "Huyo lazima atakua na mapacha, ukoo wetu ni wa mapacha aisee"
...
Pedeshee akamwambia "mkwe" wake. 'kama kitokea mimba kuharibika au mtoto akafa baada ya kuzaliwa itakuaje?
...
Dingi akajibu fasta. "Unampiga mimba nyingine siku hiyo hiyo, wala usimcheleweshe"..
 
Hii si kwa wachaga tu. Watanzania wengi wako namna hii.Utani mzuri sana!
 
Back
Top Bottom