PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,182
sijakosea kuku ita liccm na sidhani kama wewe unaijua siasa, zaidi ya ushabiki usiokua na namba,
nikuulize maswali machache yafuatayo:
1: niwanachama wangapi tulio wavuna kutoka ccm kipindi cha dr slaa?
2: viongozi wangapi wakubwa wa ccm tuliowavuna wakati wa dr slaa?
Dr slaa na muheshim sana na amefanya kazi kubwa sana katika ujenzi wa chama, na atabaki na heshima hiyo,
lakini tuseme ukweli tusiwe wanafiki, dr slaa hasinge weza kujenga ushawishi mkubwa kwenye uchaguzi uhu, viongozi hawa kukurupuka kumchukua lowassa,
wewe unaweza kuongea ujuavyo, lakini viongozi walio ndani ya chama wana uzoefu wa chaguzi mbali mbali,
Mwisho:
kama mnazani upinzani utakufa mta mtakua mnajidanganya sana maana nyota njema uonekana asubui,