We Unaonaje kuhusu Hili?

Tuheshimu uumbaji wa Mungu hakuna aliyepeleka application ya kuomba kibamia.
Kuna wazaz (jiran zangu) wamemwangaikia mtoto wao (ana miaka 9 sasa) hospital na kw waganga kwajil ya kukuza dushe, mana kilikua km kikucha (astaqaf 'rullah)...now wamekata shauri akasomee upadri aachane na mamb ya dunia. Mana wanapata hisia kua mtoto wao atapata shda kwny mahusiano ktk zama hiz!

Got my point?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hana wito wa upadre? Ni kumpata tu mtu anaekukubali kwa hali zote .
 
Kama hana Wilton wa upadre? Ni kumpata tu mtu anaekukubali kwa hali zote .
Km umesoma vzur sred yngu natagemea uwe umenielewa! Kwamba, kwny kizaz hik tulichonacho, ngono na maumbile makubw ni vtu ambavyo viko overrated sana...vimekua kiungo muhimu kiliko vyote kwenye ibada ya ndoa. Nadhan tatizo limeanzia hapa. Ndoman kila mja anajitahid kuja na solutn yke conveniently!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni hiki kizazi tulicho nacho, ngono, uzinzi na ufuska kwanza ndoa baadae,
Zaman ilikua bint ana olewa akiwa bado ni virgin, ko kesi za vibamia hazikuwepo. Ila saiv binti anaolewa kesha ngonoka na midume zaidi ya 3 au 5 yenye maumbile tofauti, na uwezo tofauti wa kuperform sex. Sasa hapo ndio anagundua kua fulani ana muhogo wa jang'ombe, mwingine kawaida ila mwingine ni kibamiaa.
Hapo pia vice versa is true! hata upande wa vijana wa kiume hivohivo, anaoa wakati amesha zini na mabinti zaidi ya kumi, wenye maumbile tofauti, ndo hapo anaona mwingine bwawa, mwingine gogo kitandani, mwingine sehemu zake zina toa bad smell, mwingine inabana, or whetever atakavyo chambua.
Solutions: nafikiri tukubaliane tu na maumbile tuliopewa na Muumba,
Ila ukijiona una kibamia ukaamua kuongeza basi kua makini unaweza ukaongeza af ikawa functionless, ndo unagundua bora kibamia chako kilikua kinaingia vzr kuliko dushe kubwa af uwe legelege..

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Please usi generalize kuwa vitabu vya dini
Sema kitabu chako wewe.
Sisi uislaam haujatuacha tu hang hang tu,
Haujatuacha ktk kula,kunywa,kulala, kuingi na kutoka washroom,kuingia ndani kwangu na kutoka,na mengine meengi, uje uniache katika jambo kubwa kama hilo?
Ndio maana ukaitwa "mfumo kamili wa maisha ya mwanadam"
Sasa bana mnaopata tabu ni nyie na waislaam walokubali kuyaishi maisha yao nje ya dini
 
Unajificha kwny mgongo wa dini?? Ukilitazama hili tatizo kwa jicho la dini, haliwez kua 'km' tatzo...dini ni imani, na there is always a perfection kweny imani!

Naona unachotaka kusema hapa ni kua...dini ni km miwani maalum (goggles) ambayo ukiivaa inaweza kukubadilishia jinsi ya kuyatazama mambo, lkn haiwez kubadili kiBAMIA kua UUME 'pendwa' (mkubwa)...au km kuna sehem ya scripture kwnye dini inayotoa suluhisho la changamoto za ndoa za sasa (ambazo nying ni kuhusu ngono na kua na maumbile makubwa!) naomba uweke hapa hzo scriptures!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo soln yako ni steriotype...imekua ikitumiwa sana na watu wengi. But ukweli nikwemba wake zenu mnashea na midume mingine...

Ktk mazingira yyte yale, kutofautiana ndo nyenzo kubwa ya uwepo wa maisha kwasababu tofauti ztu ndo zinafanya tutegemeane...hence kila mtu anakua ni muhim kwny maisha! Lkn, tofaut ya size ya maumbile ya uume kwa kizaz hiki cjaona philosophy yke! Na ishu ya kukuza uume cjakubaliana nayo, mi nimeenda kweny basic soln, amby ni ku eliminate kizaz ambacho ni 'inferior' (kimatamanio!) na kubakiza kizaz 'superior' (kimatamanio). Science inaweza kufanya uwekezaji huku ili kuokoa jahaz. Mana haya madawa na masindano, na robots za ngono zinazotengenezw hazitatua changamoto!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si kama miwani?
Ni zaidi ya unavyofikiri,
Na ni solution ya matatizo yote
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…