Nadhani ni saikolojia ndio inayomfanya Mume au Mke aione mwenzake ni GUBU. Yupo rafiki yangu yeye ni Mhaya na ni tumishi wa Jeshi la wananchi kaoa Mtu wa Musoma (Nadhani ni Mgita). "..".......................ri inapotokea ugomvi wa maneno, ni bora uanze kutengeneza tabia ya kumpuuza au ikizidi toka nje endelea na misele yako baada ya muda atajiona mjinga tu atakosa wa kumsemesha....imekwenda hivyo sasa jamaa anasema yupo "happy" sana mama si mkorofi kama zamani, baada ya kumpuuza anapoongea mama alianza kujirudi na sasa anaona alichokuwa akifanya si sahihi....
kuna kesi moja ya mwanamke alimfuata mumewe bar akiwa na rafiki zake, alipofika tu akamwanga pombe ya mumewe kwa matusi na kumburuta warudi nyumbani. walipofika nyumbani mwanamke akachukua simu ya mumewe na kuilaza kwenye basin la maji mpaka asubuhi. ni mwanamke mwenye gubu miaka yote hata kabla ya kuoana. nilipopata habari kama wawili hawa walifunga ndoa, mimi banafsi nilishangaa. kama ni wewe mwanamke kama huyu utamfanyaje? maana huyu jamaa ambae ndio rafiki yangu anakaa kimya na kuacha ujinga huu uzidi kuota mizizi.
kama ni mimi sio siri, kipigo kitakatifu lazima kipite halafu nimuone kama kesho atakua na nguvu ya kuja kunidhalilisha bar na rafiki zake.
kuna wanaopenda kupiga wanawake zao bila sababu za msingi, hawa sitawaunga mkono, lakini kuna mwingine atakuingia kichwani mpaka utarusha kofi ndio atafunga mdomo. wanawake saa nyingine vipigo mnavitaka wenyewe.
jumapili njema.

Acha wapigwe tu wamezidi midomo na wengine ni sumbua kichwaSiku
moja wakati naingie "filling station" pale Kimara Resort ORYX, yapata
saa saba na madakika fulani mchana, mara ikaja gari ndogo, jamaa nae
alikuwa anataka kuweka mafuta, akasimamisha karibu na mashine ya mafuta,
akashuka akaelekea upande wa pili, akafungua mlango wa abiria. Ghafla
tukashtukia anamchapa makofi dada aliyekaa upande wa abiria kumbe ni
mkewe ..."waaap, wap,wap' kisha akasonya.."swiiiiiiiii, pumbavu" ..Mama
akawa bado amekaa kimya, akafunika sura na mikono akaanza kulia...
Binafsi na watu tuliokuwepo hapo hatukupendezwa na ile tabia. Lakini
mama hakushuka kwenye gari na jamaa akaiingia akaomba awekewe mafuta,
alipomaliza wakaondoka haooooooooo....
Baadae nikajiuliza sana, sikujua kisa lakini nikakumbuka wakati fulani
nilisikia visa vya kina mama wa kingoni wakati huo nasome sekondari
kule Songea (Peramiho) wakipigwa na waume zao hawataki kutoka nje wala
kuruhusu mtu aingile ugomvi ..wanasema kwa kingoni "KOMAI TU
BABA,...KWANI NDOA YA NANI, SI NDOA YAKO HII??" ...yaaaani "WE UA
TU BABA ..KWANI NDOA YA NANI, SI NDOA YAKO HII??"!!
(samahani wangoni kama nimekosea mnaweza kusahihisha lugha hapo).
Tafsiri yake ni kuwa Mke alikuwa akitetea mdoa yake, atajitahidi
kuvumilia hata kwa kipigo cha namna gani. Wakati ule, hata mke
akiumizwa namna gani, atamfichia mumewe siri, hakuna atakae jua na hata
wakijua, ukipeleka shauri kwa "Mjumbe", mwanamke hawezi kwenda kutoa
ushahidi.
"Jamaa aliefahamika kwa jina la
Kwingwa Mhina wa Kigogo Luhanga akimpiga mkewe mara baada ya
kuhitilafiana"
Najiuliza tena na tena kwa nini, baadhi ya wanaume katika jamii zetu
(Ukiondoa kule kenya ambapo kuna wanawake wanapiga waume zao) ni wepesi
sana wa kupiga wake zao.??
Nini tafsiri yake kumpiga mwenzio? Unamfundisha, unamwadhibu au
unamdhalilisha??, Je, unapompiga unamfananisha na mtoto kuwa hasitaili
kufanya vile alivyofanya??...Wapo wengine ambao hawana staa, wanaweza
kupiga mke hata mbele za watu, wakubwa waliowazidi umri nk..hii
inatokana na nini? ni hasira, mfumo Dume, AU ??
Tujadili..
[FONT=Courier
New]Mwanamke wa kikenya akimpa kichapo mumewe,utamaduni huu umechukua
sura mpya kwa sasa nchini KENYA
[/FONT]
Angalia hii Clip: <font color="#000080"><font
size="3">[video]
[/video]
-1. Sounds more like reaction, waweza onesha hiyo dissappointment kwa kuongea naye when she is calm n sober as two adults.objective of beatings
-1.Kuonyesha dissappointment yako to the max
-2.Kumuonya kuwa akirudia tena hiki ndio kitakachompata
-3.Kukumbushia tu kuwa mimi ni baba(tena baba yake ndo maana huwa wanabadili majina)
-4.Kumkumbusha kuwa kuna njia nyingine ya kuwasilisha malalamiko yake bila kunidhalilisha
ni fimbo moja tu, inayoruhusiwa kumpiga mwanamke!
Ha ha ha, tena kwenye crit..
-1. Sounds more like reaction, waweza onesha hiyo dissappointment kwa kuongea naye when she is calm n sober as two adults.
-2. Ni njia ya revenge tu hiyo na vitisho, inaonesha jinsi gani umeshindwa kueleweka Kigoma.
-3. Sounds like unaji-provia wewe mwenyewe kuwa ni baba kuliko kum-provia yeye. Sifa za baba ni kuprovide, kulead, kupenda na kutunza familia (sio kupiga na wala haijawa njia ya kufanya hayo yote).
-4. Ulitakiwa nawe kukumbuka kuwa hiyo primitive way ya kumkumbusha kwa kipigo haijaweza fanya kazi kamwe; dialogue is the way to go.
Umenena vyema dada K,kwa nini kumpigana mkeo kama kweli unampenda? hata kama amekuudhii vipi , sio jambo la maana kuanza kumshushia makofi na mangumi tena wakati mwingine mbele ya watoto au hadharani , je ukimtoa jicho mtoto wa watu? utasema wewe ni superior? kwanza kumpiga mwanamke ni ushamba fulani na kutokustrabika katika zama hizi.Pia kuna wanaume wapumbavu ambo huvunja ndoa zao kwa sababu ya kuwa na ngubu, kitu kidogo tu kofi au ngumi imeisha mtoka jibaba,So you are not superior ndio maana unajihakikishia kuwa wewe ni superior, Mungu wangu pole sana. Ndio maana walisema violent people are very inferior; umenihakikishia Leo.
Ha ha ha, tena kwenye crit..
Ninakuelewa mkuu unachokisema! Mimi nina expirience zote mbili ndo maana nasema kuwa kuna kipindi inabidi wapigwe ila sio kila time, na ni kutokana na mwanamke na mwanamke! Na kingine pia mimi piga ninayoiongelea ni ya kunyamazisha tu kofi moja akae kimya asipokaa kimya mi ntaondoka zangu cause otherwise ntaua aiseeee au mwanamke nimpige naye anarudishia ntamjeruhi na hiyo ndio mwisho kesho yakeatakua anakusanya chakeanaenda kwao kwakua mimi najijua nilivyo na nini nakiaminikuhusu uhusiano wa mwanamke na mwanaume, mipaka inayopaswa kuwepo na vitu kama hivyo! Ukimchapa mwanamke ni kumtia fahamu asidhani anabishana na mashoga zake huko lakini sio kupiga kama mwizi!
Umenikumbusha kitu miaka kadhaa iliyopita kuna jirani yangu Kigoma huko alikua akigombana na mke wake hadi wanapigana na michi ya kutwangia ile, siku moja katoka hadi nje wanakimbizana na shoka! Hiyo ni too much! Hiyo hata mimi siiafiki. Salute mkuu
Unapigwa vizuri sana! Tena makofi ndo dawa yao ili kumuonyesha kuwa nani ni superior kati yenu! Tena kama wewe unayejidai mbishi ndo mzuri kweli....
Ninakuelewa mkuu unachokisema! Mimi nina expirience zote mbili ndo maana nasema kuwa kuna kipindi inabidi wapigwe ila sio kila time, na ni kutokana na mwanamke na mwanamke! Na kingine pia mimi piga ninayoiongelea ni ya kunyamazisha tu kofi moja akae kimya asipokaa kimya mi ntaondoka zangu cause otherwise ntaua aiseeee au mwanamke nimpige naye anarudishia ntamjeruhi na hiyo ndio mwisho kesho yakeatakua anakusanya chakeanaenda kwao kwakua mimi najijua nilivyo na nini nakiaminikuhusu uhusiano wa mwanamke na mwanaume, mipaka inayopaswa kuwepo na vitu kama hivyo! Ukimchapa mwanamke ni kumtia fahamu asidhani anabishana na mashoga zake huko lakini sio kupiga kama mwizi!
Umenikumbusha kitu miaka kadhaa iliyopita kuna jirani yangu Kigoma huko alikua akigombana na mke wake hadi wanapigana na michi ya kutwangia ile, siku moja katoka hadi nje wanakimbizana na shoka! Hiyo ni too much! Hiyo hata mimi siiafiki. Salute mkuu
Kueleweka Kigoma? sorry...
Si unajua smart phones zinavyojifanya smart; hata sikumbuki ni neno gani nililomaanisha.
Mambo lkn? Huwa unampiga wifi yangu?
Nampiga soft slaps...lol
nisipompiga analia lol
hivi mume atoke tu anipige????? Uwiiiiiii Mola aepushe maana kama kuna kisu, tofali, sufuria, panga litamhusu