Hahaahaaaa si mpaka uzipate hizo kordan? Hahaaaaa eti kama kunguru mbav zangu mie...
No tatizo kuna wanawake wana midomo mirefu sana! Sasa inafikia kipindi wewe pilipili zako zishakupanda umekaa kimya kabisa ila yeye anaendeleza kuchonga tu! Ukimpatia kofi moja la haja lazima akae kimya.....
Ngumu sana aisee. Paw akitaka kufa, aniguse, namaanisha!
Abusive relationships are too unhealthy na zinaathiri hata watoto. Mkiona mnapigana bora muachane miwe mnatembeleana! Brainwashing ya kwamba sijui nalinda ndoa is total ----!
Kwetu sijapigwapo, ukanipige wewe?!
Ulishajiuliza kwanini ana mdomo mrefu?
mimi nimependa hiyo picha ya pili. mwanamke wa kikenya akimwadhibu mmewe! jamani kama wewe ni mwanaume wa ukweli then unapiga mkewe tena sometimes mbele ya watoto wenu basi fanya hivi. muwe, wewe na mkeo, mpeane zamu ya kuchapana mbele ya watoto wenu. siku moja ukimpiga mkeo the siku ya pili kubali mkeo nae akupige. fanyeni usawa maana 'mwanamke na mwanaume wote wameumbwa kwa mfano wa Mungu aliye hai'...teh..teeh..
:target::target::target:
Kauli za waathirika(victims) zinajulikana tu.
Na wewe mwanaume mzima ukapigwe na mkeo utakua mzima kweli? Si umtafutie na dildo tu awe anakupiga miti kabisa? No way labda sio mimi Gobore niliyelipa na ng'ombe kwenu....teh teh
Wengine ni gubu tu! I happened to know women vizuri na nnajua kuna wengine that is the way to express their issues, labda something is wrong ndo anakua na mdomo mrefu ila kuna mipaka aisee kwamba sasa huyu nnaeongea nae ni mume wangu! Sasa to put some sense in Her unamkata wenge kidogo akikaa vizuri mnaongea kwa adabu.
hebu rusha hilo kofi uone?
Kama hujaziona kor.dani zinaelea angani kama kunguru.
huo ndo mfumo dume uliokujaa hata hutaki kubadirika! lazima mpeane zamu za kupigana. wewe kwa umalaya wako mkeo anakufumania halafu tena unamkung'uta makofi. omba ishu kama hiyo isikutokee mimi nikiwa karibu yako maana nitakukamata na mkeo akukung'ute uone machungu nawe pia!
Ni gubu tu.
Gubu ni nini? Mwenye gubu anakuwaje?
Gubu husababishwa na nini?
Gubu humalizwa na nini?
We ni mwanamke! Unalijua Gubu ni kitu gani NO DOUBT! Vile mnakuaga na visa vile..... Ndo Gubu hilo
Wengine ni gubu tu! I happened to know women vizuri na nnajua kuna wengine that is the way to express their issues, labda something is wrong ndo anakua na mdomo mrefu ila kuna mipaka aisee kwamba sasa huyu nnaeongea nae ni mume wangu! Sasa to put some sense in Her unamkata wenge kidogo akikaa vizuri mnaongea kwa adabu.
Hatutafika popote, bado nina baki na conclusion yangu. The one who beats his wife is a coward!
ni fimbo moja tu, inayoruhusiwa kumpiga mwanamke!