We soma tu! Hamna haja ya title

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,822
Reaction score
5,425
Ticha katoa mtihani wa biology. Swali mojawapo lilikuwa ni mchoro wa ndege na wanyama kama wa5 hvi,chini ya kila mchoro kulikuwa na swali taja kingdom,class,gentre za kiumbe huyu...
Mwanafunzi mmoja akakosa majibu na kuamua kutoka nje.
Ticha akamuuliza wewe ni nani na unaenda wapi??
Mwanafunzi akafunua suruali yake na kuonesha miguu na kusema 'kwa hvi unavyoniona nadhani utakuwa ushajua kingdom yangu,class na gent yangu
 
Hahahaha u made my day

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Kuuliza si ujinga. Hivi gentre ni nini. Huu msamiati sijawahi kukutana nao katika Biology.
 
cjacheka ila siombaaaaaaaaaaya saaaaaana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…