We mbona macho mekundu.....

jaman me mbona nilisoma kwenye post moja hivi ikisema mtu anaweza kuweka avatar yoyote ilimradi isiwe ya matusi au public offence

hiyo avatar inatuonyesha wewe ni binadamu wa aina gani, ukatili na roho uliyonayo. Kwa kuwa ndivyo ulivyo huwezi kubadilika wala kukubali kuitoa avatar hiyo.
 
Kweli hiyo avator mbaya kwa me nadhani hata wana jf wengine wataniunga mkono. ITOE BANA!!
.

Naunga Mkono hii avatar imeni disturb kiasi hata wakati wa kusoma post yake ilibidi niisogeze juu niiione. si ubin adam huu
 
Back
Top Bottom