View attachment 109624
Mawazo yote yameishia kwenye Mpira.
Hapana, hajamchoka, atakuwa ana mimba nyingine huyooo...Sijui amemchoka huyo mtoto hii inaweza ikawa staili ya kumtupa Mola amnusuru kwa hakika
Duh salale......alafu utasikia..miaka 15 ijayo anajifanya ana uchungu..sana na mwanae...hasa pale anapotangazwa arusini na mC......"Mama wa bibi arusi asimame jaman"" vigelegele..vingi kumbe alishindwa hata na paka aleavyo watoto wake kwa usalama.....Pumbafu kabisa....!! "mtoto kwa mama ni kidonda kwa bibi ni kovu" huyu si wake..labda bibi yakeView attachment 109624
Mawazo yote yameishia kwenye Mpira.
Hata hivyo huyo mama ni wa ccm.Basi hapo kuna watu wangeweza kuingiza mpaka siasa.......ungeweza kusikia CCM/CDM ndo wanamambo ya kihivi!!