We love each other

Blaki Womani

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
11,229
13,431
Habari wanajf
napenda kujua maana ya maneno haya "tunapendana sana ( We love each other)"

mtu ana mpenzi wake na wanapendana sana lakini anakwambia kwamba gf/bf wangu nina wasiwasi ana mahusianao nje.
sasa najiuliza kwa watu wanaopenda sana inakuwaje unamtilia shaka mwenzako kwamba ana mwingine si mnapendana sana sasa huyo mwingine anatoka wapi? sasa hapo upendo uko wapi?

Nakumbuka wimbo wa zamani wa LADY JADE ulikuwa unasema "Usiusemee moyo"

nilikuwa nafikiri bora kusema nampenda mke/mume wangu au g/f na b/f kuliko kusema tunapendana

tafadhali naomba mawazo yenu
 
ni kweli!! ni vibaya kuusemea moyo unaweza kufa kwa pressure kama si kisukari!!
 
Habari wanajf
napenda kujua maana ya maneno haya "tunapendana sana ( We love each other)"

mtu ana mpenzi wake na wanapendana sana lakini anakwambia kwamba gf/bf wangu nina wasiwasi ana mahusianao nje.
sasa najiuliza kwa watu wanaopenda sana inakuwaje unamtilia shaka mwenzako kwamba ana mwingine si mnapendana sana sasa huyo mwingine anatoka wapi? sasa hapo upendo uko wapi?

Nakumbuka wimbo wa zamani wa LADY JADE ulikuwa unasema "Usiusemee moyo"

nilikuwa nafikiri bora kusema nampenda mke/mume wangu au g/f na b/f kuliko kusema tunapendana

tafadhali naomba mawazo yenu

Hujamalizia na wale wanaosema..."ananipenda sana ila hizi tabia zake ndo tatizo"....umenichekesha kwa kweli....

Ila mara nyingi mi nadhani watu wanapitiwa tu katika kuongea, so wakisema tunapendana sana, mioyoni mwao wanamaanisha.."nampenda sana".... but at the same time, you cannot overlook the inner, divine connection watu huwa wanapata..yaani they simply connect, mpaka mioyo yani inacommunicate, hapa kwa mtu mwingine ni ngumu kuelewa ila hawa watu wanakuwa sahihi wakisema wanapendana!!!
 
The true lov ni lazima lijae ma mawiv kibao coz everyone anakuw amejitoa kwa m2 then ni lazim apate hof kuw mi nilivy ji2liz haraf mwenzang awe anaend kinyum na makubalian ye2 hvy ni lazim wiv uwepo 2 even mim mwenyew namawiv ile baaaaaaaya kwa she wang.I lv is blind
 
mimi nafikiri kupendana hakumaanishi everything is perfect.....ila kwa namna anavyofahamu anayesema hilo laweza kuwa sahihi.....kama mtu hajakupa sababu ya kuona kwamba pengine hakupendi sioni kwanini upate shida kusema tunapendana.....kuna satisfaction fulani wanapata ndo wanafikia kusema hivyo......!!!
 
Mbona mimi kaka yako nakupenda kimaneno na kivitendo l.o.l
 
Yaani wewe kila sehemu nikianza nawe unabana hapohapo lol! na signature hapo chini kama inakusuta vile.
Home boy kwanza habari yako banaa, ahaa ahaaa mimi sina hiyana naweza kukuachia sista yangu ila approval bado kwahiyo bado nakuweka pending l.o.l
 
Habari wanajf
napenda kujua maana ya maneno haya "tunapendana sana ( We love each other)"

mtu ana mpenzi wake na wanapendana sana lakini anakwambia kwamba gf/bf wangu nina wasiwasi ana mahusianao nje.
sasa najiuliza kwa watu wanaopenda sana inakuwaje unamtilia shaka mwenzako kwamba ana mwingine si mnapendana sana sasa huyo mwingine anatoka wapi? sasa hapo upendo uko wapi?

Nakumbuka wimbo wa zamani wa LADY JADE ulikuwa unasema "Usiusemee moyo"

nilikuwa nafikiri bora kusema nampenda mke/mume wangu au g/f na b/f kuliko kusema tunapendana

tafadhali naomba mawazo yenu

Hili Nalo Neno.......Meseji delivadi
 
of course,, kwa dunia yenyewe ya sasa kila kitu kimekaa kimaslahi, kusema mnapendana ni kujidanganya..
 
Kuwa na mahusiano nje hakumaanishi moja kwa moja kuwa upendo haupo.
 
Tunapendana sana kwasababu binafsi nampenda na yeye matendo yake yanadhihirisha kuwa ananipenda.
Suala la kuwa na wasiwasi kama bf/gf ana mahusiano ya nje nafikiri ni suala la uaminifu na si upendo.
 
Back
Top Bottom