We listen but we dont Judge!!!

Status
Not open for further replies.
Kumbe una ujasusi😂
 
 
na mtulie kweli kweli
nitamreply mmoja baada ya mwingine

msijifanye vidume humu
kutukana watu
Acha mikwala mbuzi masai,
Sisi tunajadili mada uliyoiweka wewe mwenyewe hapa mezani,
Kama ulikua hujiamini,kwanini umefungua huu uzi?

Kitendo cha kumuanika mtu uliye wasiliana nae huko PM kinathibitisha kua you are too weak,lacks sufficient physical strength,emotional fortitude or mental resolve to handle a situation,you cant be trusted,pia kua na hizo ID's 10 ni dalili ya kutokujikubali pia,be proud of youself,jikubali acha kufake life.
 
Nimegundua mleta mada ana low self esteem
Yani mada kaileta mwenyewe af anatishia kuanika watu hadharani. Hajiamini, no wonder kaamua aanze kusagana
 
Watu wanadinyana na kupigana pic za utamu 😆 mkuu dada anataka kuzi Upload
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…