Chadema 2030
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,916
- 3,747
kila mtu afanye apendalo
Yako kabisa nakuasa ukilewa usiende kulala kawashughulikie waache kututamani wanawake wenzao!Hii msg ni yangu au umekosea shibe?
Hahahaha mimi ni pombe tu nikitaka kuzaana ndio napatia mimba tu , tofauti na hapa starehe yangu ni pombeYako kabisa nakuasa ukilewa usiende kulala kawashughulikie waache kututamani wanawake wenzao!
Nakuomba sana kaka yangu Niko chini ya miguu yako,ukimaliza kulewa kawapelekee moto Fanya kama msaada tu utupunguzie kutamaniwa na wadada wenzetu!Hahahaha mimi ni pombe tu nikitaka kuzaana ndio napatia mimba tu , tofauti na hapa starehe yangu ni pombe