We listen but we dont Judge!!!

Status
Not open for further replies.
Naona mapenzi ya jinsia moja yamekua fashion sikuhizi.

Marafiki zangu wawili siku hizi nao wananiambia wanavutiwa na wanawake wenzao zaidi wakati zamani hawakua hivyo na
Porno zinawaharibu,kila wanachokiona huko,wanakua wanataka kukijaribu.
walikua malaya tu wa kutupwa.
Wanawake wengi wanaorukia mapenzi ya jinsia moja ni wale waliochakazwa na wanaume,wanakua hawana soko tena wala hisia na umri wao unakua umesonga.
 
yaan kimapenzi
Kupitia mada zako, uchambuzi unaonyesha unasumbuliwa sana na ............... halafu kama mtu wa kuzitoa hayupo!!!!!!!Jaribu kuwa busy plus kuwa karibu na muumba.




 
ulikua wewe na sikukupa papuchi ukaja nianzishia uzi
kwa kifupi siwapendi
Tatizo hujikubali kuwa umetoka barabarani, hivyo hakuna mwanaume wa kukutongoza! Sasa unageukia wanawake wenzako.

Ili kuweka rekodi sawa, siyo mimi aliyeharibikiwa gari na ukamuacha ila ukaenda kwa mwanaume mwingine.

Mwalimu wewe, una vitimbi si vituko. Sasa wanaume wanakususa unahangaika na ke wenzako. Jikubali kuwa wakati umepita, jishushe kwa mumeo wa ndoa maisha yasonge teacher wa maticha
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…