We King'asti hebu acha mkwara mbuzi.........!

Mbona pua imejikunja imekuwa kama mnanihii wa kuku?
 
Unataka kutupa ndoano? Ila ujue mabuti na makonzi yanahusika ukichelewa kupokea simu na kurudi home.
Kuna jamaa alikuwa kamaliza JKT, akaona yupo tayari kwa vita, lakini jamaa mwingine akamwambia, wewe umeziona risasi unazozipeleka tu, hujaziona za kukukosakosa.... usije ukaolewa na nduli idi amin Dadaaa halafu ukawa mdogooo
 


Sikutegemea kuwa mwanangu utakuwa na mkwara namna hii, hivi umechukua tabia za nani maana katika ukoo wetu hatuna watu wenye mikwara mbuzi kama wewe...........

Pengine ni zoezi la kustahamili kinachozidi kidogo!
 
Duh!!! Mzee Mtambuzi hapa kweli mtoto unaye...usije ukashangaa siku mkweo anakuja kushtaki kwenu kuwa katolewa meno ya bafuni.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…