Analog
JF-Expert Member
- Apr 4, 2024
- 335
- 631
Kijana acha kulalamika maisha magumu ili hali nguvu unayo na mapori yamejaa Tanzania hii, acha usharobaro kwa kutaka kazi za kwenye viyoyozi.
Kukaa mjini sio lazima na maisha mazuri hayapatikani pekee kwenye kazi za office pekee, itumie nguvu yako kabla haujachelewa. Usikae kwa kuilaumu Serikali ili wewe umekaa unajiphotoa tiktok.
Chukua hatua.